"Nimekosa sana, Nimekosa Mimi" - Hii ni dhihaka kwa Kanisa Katoliki na wana-CCM. Ingawa ni udhaifu wa Bunge, tutafika tu

Mzee we unajua kilatini? Just a question usicomplicate
 
Tarehe 29 January 2022 mbele ya ssh tutamsikia Tena akisema
NAKUUNGAMIA KWA JINA LA BUNGE LA MAZUZU .
 
1.Nimekosa mimi nisamehe Raisi
2. Video ile imtengenezwa ili kupotosha
3. Ule ulikuwa utani wa Kigogo

Kama umeomba msamaha kuna ulilotenda ambalo si jema
Kama video iliyoleta taharuki ni ya kutengeneza basi tunatakiwa ku- ignore kila kitu na maisha yaendelee
Kama ule ulikuwa ni uatani, basi ulizungumza hayo mambo kweli na hakuna video iliyotengenezwa
 
Unaniambia yote haya ya kazi gani? Wapi mimi nimezungumzia historia ya kanisa katoliki?
 
Mtu mzima akivuliwa nguo........? Ila ile tone yake tu inatosha kujua kilichompata πŸ˜„πŸ˜„.
Mzee wa Karpenaumu amekua piliton
Nasikia usiku kucha alikuwa na vijana wa kazi kutoka pande mbili wale wenye mavazi masafi na ya mabaka wakitambaa naye.

Alitaka kutoa msimamo wake mkali wakamwambia fanya ila badae jina laweza kubadilishwa na kubatizwa kajina kengine ka milele!

Kwanza hakutaka swali lolote toka kwa mapapalazi, pili sura na hisia havikufanana na alichokuwa anaonge.

Nadhani hajakilisha ISIDINGO yake, hii kijeshi tunaita retreating to reduce damage. Akiwa bungeni anaweza kufanya jambo tukashangaa!

Ngoja tuone nani kam-time mwenzie! Vijana wa kazi au Mkongwa mpiga mijeledi wagombea ahahha

Pole Ndugai mimi nakusifu maana efanya kisichowezekana kikawezekana! Ujumbe umefika tayari.
 
Ukishaona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
 
Tukitaka muhimili wa bunge uwe imara na wenye kujitegemea basi mkuu wa mwimili huu asiwe toka chama chochote cha siasa vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.

Mheshemiwa Ndugai kaona mbali na kuona japo ye ni kiongozi wa bunge ila bado ni mwanachama wa CCM hivyo wanaweza kumvua uachama na shughuri yake itakuwa imeishia hapo.

Wajuzi tumeona Mh Ndugai ametumia busara tuu ya kiutu uzima na wala sio kama alikosea.
 
tangu mwanzo wengine tulijua ndugai akili yake haiko sawa.kwanza mm nilishangaa sana wabunge walipomchagua kuwa spika wao.wasomi wazima kumchagua huyu bwana kuwa kiongozi wao hata maprofesa?ilinishangaza sana ndipo nilipoanza kujua tz hatuna wasomi bali wababaishaji tu.
 
Ukishaona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
ni kituko na haijawahi tokea ktk nchi yoyote dunia bali tz tu.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
ni kituko na haijawahi tokea ktk nchi yoyote dunia bali tz tu.
Hapa ni Speaker wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi akiichana hotuba ya Trump baada ya kutofautiana na Rais.

Haya ndiyo mambo yanayopaswa kuonekana katika nchi ili mihimili ionekane waziwazi kuwa kweli ipo huru.
Your browser is not able to display this video.
 
Haya maisha bana, japo jamaa aliongea sawa, ila alisahau kuwa kuna mhimili uliojichimbia zaidi.
 
Kwa hiyo ndugai ana recite sala ya 'nakuungamia' ili abembeleze msamaha kwa mama.
 
Ukishaona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
Ndiyo tamaa yenu hii,yatokee mabaya tu ili mpate Cha kusema...Hama nchi uepuke taifa mfu!
 
Ukiwa sio msafi huwez kuwa na msimamo na spika lazima ajishushe na awe dhaifu #tunataka katiba mpya#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…