"Nimekosa sana, Nimekosa Mimi" - Hii ni dhihaka kwa Kanisa Katoliki na wana-CCM. Ingawa ni udhaifu wa Bunge, tutafika tu

Tukisema bunge ni dhaifu tunafokewa!
 
Jana Ndugai katuthibitishia kuwa kauli ya Proff Assad ni ukweli tena ukweli mtupu.
 
Ndugai tangu akutane na mke wa Yesu alishachanganyikiwa, ni wa kumpuuza tu kama sio kumsamehe.
 
Mimi ni Mkatoliki halisi na ni kiongozi wa Halmashauri ya Walei. Sala aliyoitaja Ndugai ni ya kuungama, na yupo sahihi kabisa.
Tutenganishe chuki zetu binafsi na imani za kanisa
 
Maelezo marefu nimeishia njiani baada ya kuacha kuzungumzia mada ukajikita kwenye kusifia uromani wako umenichefua sana
 
Jadili hoja ya MTOA mada....
 
Moja msamaha unaombwa hata kwa mwanao ukimkosea, pia hiyo bwana msamaha wake kwa rais na wananchi uko sawa, kwan ktk bajeti ya serikal inapitishwa na bunge, na ndan ya hiyo bajeti kunakuwemo pia swala la mikopo? Kwa hiyo mikopo hii ndugai kashiriki kupitisha na bunge lake badala ya kuidhibit serikali, kwa hiyo alitakiw hilo kulidhibit ktk upitishaji wa bajet bungeni ila kinyume chake alipitisha kisha yuko nje ya bunge ndo anaanza kulalamikia hiyo mikopo, kosa lake la kuomba msamaha wananchi ni pale alipitisha bajet ya mikopo isiyopimika, kingine uelewa wako ni mdogo juu ya kuomba msamaha, endapo mtu anastahili kumuomba mke au mume msamaha? Je ni ajabu gan kiongoz kuomba msamaha kwa anowaongoza pale anapokosea?
 
Mkuu lazima hapo kuna file zimefukuliwa mahala akakumbishwa maovu yake na kuambiwa hana jeuri hiyo ama vinginevyo ni kitisho cha kukolimbwa , kati ya hayo mawili, ndio ujanja wa masisiemu,
 
Haya maisha bana, japo jamaa aliongea sawa, ila alisahau kuwa kuna mhimili uliojichimbia zaidi.
Yeah! Kuna SIASA, SIASA YA AFRIKA na SIASA ya TANZANIA! I think Job knows the ultimate fate of his trials!
 
Hakika
Hakika ilikuwa Ni sawa na kutucheza shere watanzania,kitendo Cha kutuaminisha kwamba eti ilikuwa Ni edit Ni kutushusha thamani ya uelewa wetu, lakini pia kutuaminisha kwamba hakuwa amekosea na same time anaomba radhi...very contradictory
 
Hakika

Hakika ilikuwa Ni sawa na kutucheza shere watanzania,kitendo Cha kutuaminisha kwamba eti ilikuwa Ni edit Ni kutushusha thamani ya uelewa wetu, lakini pia kutuaminisha kwamba hakuwa amekosea na same time anaomba radhi...very contradictory
Imetimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…