Wakuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi.
Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa, natanguliza shukrani.