Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

al1

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2024
Posts
264
Reaction score
503
Wakuu habari za usiku huu?

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi.

Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa, natanguliza shukrani.
 
Sasa husemi ni tsh ngap unadhan utapataje wateja
 
pole
 
Muamala ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…