sijali kuhusu future. Sina commitment nae i mean sijui tutafunga ndoa au tutaishi pamoja,tupo tu kupeana raha maishani sipendi kustay in bad relationships za kitapelimhhh future is not there for you
why is not there
kwa nini umekata tamaa mapema kiasi hicho
mume wa mtu, partially divorced and u still call it commitment
mhhh sijaelewa hapo
sijui kuhusu familia yake wala i don care .wala simzuii wala kumcontrol .nipo tu kwa raha zetu kila mtu anaendelea na maisha yake.do whatever your heart pleases (kinachokupa raha)..
So long as hakuna third parties wanaoumia wala hakuna mmoja wenu anayeumia.., ila inabidi nyote muwe on the same boat, haya masuala ya mapenzi mmoja wenu hachelewi kupenda zaidi na kudai commitment (wivu n.k.) anyway just cherish the moment and let tommorrow take care of tommorrow.., (narudia hakikisha furaha zenu azimuumizi any third part, mfano familia ya huyo rafiki yako)
ndo majibu hayojamani umeshalingalia katika mtazamo mpana zaidi? Mm nakuuliza ukinijibu maswali haya basi nitakupa majibu yangu.
Swali #1= je ni divorced officially?-hapana
swali #2= anao watoto?-ndio wawili
swali #3= je wewe hupendi kuwa na familia yako like hupendi kuwa mke na mama wa watoto?-i wish na nimejitahidi imeshindikana.
Swali #4= unayo amani nafsini mwako? Kwamba imani yako haikusuti wala hujiskii kuwa unakosea?- najiskia kukosea but sina jinsi nimechoka kulia
jibu maswali haya kisha nitakwambia kitu ndugu yangu.
Professional chancellor
sijui kuhusu familia yake wala i don care .wala simzuii wala kumcontrol .nipo tu kwa raha zetu kila mtu anaendelea na maisha yake.
sijali kuhusu future. Sina commitment nae i mean sijui tutafunga ndoa au tutaishi pamoja,tupo tu kupeana raha maishani sipendi kustay in bad relationships za kitapeli
unadhani yote hayo sifanyi?ur wrong dada tena unatafuta nuksi. Ni heri ungepata sinlge and mingling. Wapi utampata akufaaye, kamwe huwezi. Mume bora atoka kwa mungu. Katubu umurudie mungu umutumikie kiukweli mambo yote yatafwata. Maana hakuna binadamu mkamilifu utakayemuona chini ya jua.
only time will tellrelationship mbaya za kitapeli
unajuaje na huyo japo ni mume wa mtu (divorced partially mean bado ni mume wa mtu hawajaachana rasmi) ana malengo ya muda mfupi na wewe
siku wakirudiana na mke wake rasmi na wewe si utaachwa kwenye mataa
Kama kuna mtu anaumia, then its not worth it..., kama kuna shida nyumbani kwa rafiki yako itapelekea kutokuwa na furaha (hapo utakuwa humtendei haki rafiki yako, wala wewe mwenyewe) na mwisho wa siku unaweza kujiletea ugomvi au kujipatia sifa mbaya (na kumbuka when you are in this relationship, unajizibia kupata relationship nyingine).sijui kuhusu familia yake wala i don care .wala simzuii wala kumcontrol .nipo tu kwa raha zetu kila mtu anaendelea na maisha yake.
nikuulize kitu? Mwanaume akimfumania mke wake anaweza kurudiana nae?kama kuna mtu anaumia, then its not worth it..., kama kuna shida nyumbani kwa rafiki yako itapelekea kutokuwa na furaha (hapo utakuwa humtendei haki rafiki yako, wala wewe mwenyewe) na mwisho wa siku unaweza kujiletea ugomvi au kujipatia sifa mbaya (na kumbuka when you are in this relationship, unajizibia kupata relationship nyingine).
Kama unataka no strings attached tafuta someone with really no strings attached somewhere else. by the way umesema hutaki relationship za kitapeli but its seems like you are in one...
na mimi natafuta wa aina hii aiseemhhh future is not there for you
why is not there
kwa nini umekata tamaa mapema kiasi hicho
mume wa mtu, partially divorced and u still call it commitment
mhhh sijaelewa hapo