Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help

Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help

mimi ai

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
89
Reaction score
30
Since nimeona ni ngumu kupata the perfect man to stay with for serias relationship. Nimedecide kuwa na mwanaume mmoja hivi kutoana upweke na kukidhi tamaa zetu za kimwili.
Ni mume wa mtu but yupo available....(divorced partialy)
ni rafiki yangu kwa muda mrefu ni mzuri sana. To me its better this way
hatuna commitment towards each other tupo tu kupeana raha.
Sijali kuhusu future cause future huwa siioni naishia tu kuumia
nimekosea?
 
Ngoja waje wa "No Strings Attached" watakuelewesha.
Am old fashioned, nikikuduu tu lazima kuwe na commitment za aina fulani lol
 
do whatever your heart pleases (kinachokupa raha)..

So long as hakuna third parties wanaoumia wala hakuna mmoja wenu anayeumia.., ila inabidi nyote muwe on the same boat, haya masuala ya mapenzi mmoja wenu hachelewi kupenda zaidi na kudai commitment (wivu n.k.) anyway just cherish the moment and let tommorrow take care of tommorrow.., (narudia hakikisha furaha zenu azimuumizi any third part, mfano familia ya huyo rafiki yako)
 
Mhhh future is not there for you
Why is not there
Kwa nini umekata tamaa mapema kiasi hicho
Mume wa mtu, partially divorced and u still call it commitment
Mhhh sijaelewa hapo
 
mhhh future is not there for you
why is not there
kwa nini umekata tamaa mapema kiasi hicho
mume wa mtu, partially divorced and u still call it commitment
mhhh sijaelewa hapo
sijali kuhusu future. Sina commitment nae i mean sijui tutafunga ndoa au tutaishi pamoja,tupo tu kupeana raha maishani sipendi kustay in bad relationships za kitapeli
 
jamani umeshalingalia katika mtazamo mpana zaidi? mm nakuuliza ukinijibu maswali haya basi nitakupa majibu yangu.
swali #1= je ni divorced officially?
swali #2= anao watoto?
swali #3= je wewe hupendi kuwa na familia yako like hupendi kuwa mke na mama wa watoto?
swali #4= unayo amani nafsini mwako? kwamba imani yako haikusuti wala hujiskii kuwa unakosea?
jibu maswali haya kisha nitakwambia kitu ndugu yangu.

professional chancellor
 
do whatever your heart pleases (kinachokupa raha)..

So long as hakuna third parties wanaoumia wala hakuna mmoja wenu anayeumia.., ila inabidi nyote muwe on the same boat, haya masuala ya mapenzi mmoja wenu hachelewi kupenda zaidi na kudai commitment (wivu n.k.) anyway just cherish the moment and let tommorrow take care of tommorrow.., (narudia hakikisha furaha zenu azimuumizi any third part, mfano familia ya huyo rafiki yako)
sijui kuhusu familia yake wala i don care .wala simzuii wala kumcontrol .nipo tu kwa raha zetu kila mtu anaendelea na maisha yake.
 
jamani umeshalingalia katika mtazamo mpana zaidi? Mm nakuuliza ukinijibu maswali haya basi nitakupa majibu yangu.
Swali #1= je ni divorced officially?-hapana
swali #2= anao watoto?-ndio wawili
swali #3= je wewe hupendi kuwa na familia yako like hupendi kuwa mke na mama wa watoto?-i wish na nimejitahidi imeshindikana.
Swali #4= unayo amani nafsini mwako? Kwamba imani yako haikusuti wala hujiskii kuwa unakosea?- najiskia kukosea but sina jinsi nimechoka kulia
jibu maswali haya kisha nitakwambia kitu ndugu yangu.

Professional chancellor
ndo majibu hayo

ur wrong dada tena unatafuta nuksi. ni heri ungepata sinlge and mingling. wapi utampata akufaaye, kamwe huwezi. mume bora atoka kwa mungu. katubu umurudie mungu umutumikie kiukweli mambo yote yatafwata. maana hakuna binadamu mkamilifu utakayemuona chini ya jua.
 
sijui kuhusu familia yake wala i don care .wala simzuii wala kumcontrol .nipo tu kwa raha zetu kila mtu anaendelea na maisha yake.

Aiseeee!! Kwa mtazamo wangu umekosea sana.
 
sijali kuhusu future. Sina commitment nae i mean sijui tutafunga ndoa au tutaishi pamoja,tupo tu kupeana raha maishani sipendi kustay in bad relationships za kitapeli

Relationship mbaya za kitapeli
Unajuaje na huyo japo ni mume wa mtu (divorced partially mean bado ni mume wa mtu hawajaachana rasmi) ana malengo ya muda mfupi na wewe
Siku wakirudiana na mke wake rasmi na wewe si utaachwa kwenye mataa
 
ur wrong dada tena unatafuta nuksi. Ni heri ungepata sinlge and mingling. Wapi utampata akufaaye, kamwe huwezi. Mume bora atoka kwa mungu. Katubu umurudie mungu umutumikie kiukweli mambo yote yatafwata. Maana hakuna binadamu mkamilifu utakayemuona chini ya jua.
unadhani yote hayo sifanyi?
 
relationship mbaya za kitapeli
unajuaje na huyo japo ni mume wa mtu (divorced partially mean bado ni mume wa mtu hawajaachana rasmi) ana malengo ya muda mfupi na wewe
siku wakirudiana na mke wake rasmi na wewe si utaachwa kwenye mataa
only time will tell
 
so basically, friends with benefits ni nzuri na sio nzuri saa nyingine.
 
sijui kuhusu familia yake wala i don care .wala simzuii wala kumcontrol .nipo tu kwa raha zetu kila mtu anaendelea na maisha yake.
Kama kuna mtu anaumia, then its not worth it..., kama kuna shida nyumbani kwa rafiki yako itapelekea kutokuwa na furaha (hapo utakuwa humtendei haki rafiki yako, wala wewe mwenyewe) na mwisho wa siku unaweza kujiletea ugomvi au kujipatia sifa mbaya (na kumbuka when you are in this relationship, unajizibia kupata relationship nyingine).

Kama unataka no strings attached tafuta someone with really no strings attached somewhere else. By the way umesema hutaki relationship za kitapeli but its seems like you are in one...
 
Hayo ndo maisha uliyochagua duh.Kweli kina lulu wamekuwa wengi.Kila la heri na life style yako ila chunga mtu asijeakakufia kifuani kwako.
 
kama kuna mtu anaumia, then its not worth it..., kama kuna shida nyumbani kwa rafiki yako itapelekea kutokuwa na furaha (hapo utakuwa humtendei haki rafiki yako, wala wewe mwenyewe) na mwisho wa siku unaweza kujiletea ugomvi au kujipatia sifa mbaya (na kumbuka when you are in this relationship, unajizibia kupata relationship nyingine).

Kama unataka no strings attached tafuta someone with really no strings attached somewhere else. by the way umesema hutaki relationship za kitapeli but its seems like you are in one...
nikuulize kitu? Mwanaume akimfumania mke wake anaweza kurudiana nae?
 
Hujakosea, sometimes bora kujilipua kihivyo ili kuilinda furaha na amani ya moyo.
 
mhhh future is not there for you
why is not there
kwa nini umekata tamaa mapema kiasi hicho
mume wa mtu, partially divorced and u still call it commitment
mhhh sijaelewa hapo
na mimi natafuta wa aina hii aisee
 
Back
Top Bottom