Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help

Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help

nikuulize kitu? Mwanaume akimfumania mke wake anaweza kurudiana nae?
Depends na mtu mwenyewe.., watu tupo tofauti, ila kama alimfumania na anaumia kuwa nae mshauri atafute divorce au waachane asiendelee kuumia (after all ni rafiki yako), pia mweleze kabisa what you have between the two of you hutegemei kwamba kutakuwa na future (sio aache akitegemea kupata mwingine, wewe kumbe wewe haupo tayari).

Anyway relationship kama hii lazima wote muwe on the same page..., take one step after another (na kama yeye anao watoto huwezi kujua labda atakuwa anatafuta mama wa kulea watoto.., all these needs to be communicated).
 
ndo majibu hayo

Basi mdogo wangu usiendelee nae. niko tayari kukusaidia kimawazo.soma green.
amani umeshalingalia katika mtazamo mpana zaidi? Mm nakuuliza ukinijibu maswali haya basi nitakupa majibu yangu.
Swali #1= je ni divorced officially?-hapana-ina maana ndoa yake ya mwanzo ipo
swali #2= anao watoto?-ndio wawili-wanahitaji kulelewa na mama na baba watakusumbua wewe
swali #3= je wewe hupendi kuwa na familia yako like hupendi kuwa mke na mama wa watoto?-i wish na nimejitahidi imeshindikana. hujashindwa bado kama kweli unapenda kuolewa
Swali #4= unayo amani nafsini mwako? Kwamba imani yako haikusuti wala hujiskii kuwa unakosea?- najiskia kukosea but sina jinsi nimechoka kulia. sasa hapa ndipo utakaolia zaid manake jiandae kulogwa na huyo mkewe tena na kutiwa nuksi hadi za mavi au mayai viza
jibu maswali haya kisha nitakwambia kitu ndugu yangu.

USHAURI WANGU KWAKO
Achana naye kabla hujaendelea kuumia zaid, kama unaweza nipigie simu 0787202304 kwa ushauri zaid. unachokosa wewe ni faraja na ushauri wenye matumaini.

Professional chancellor
 
basi mdogo wangu usiendelee nae. Niko tayari kukusaidia kimawazo.soma green.
Amani umeshalingalia katika mtazamo mpana zaidi? Mm nakuuliza ukinijibu maswali haya basi nitakupa majibu yangu.
Swali #1= je ni divorced officially?-hapana-ina maana ndoa yake ya mwanzo ipo
swali #2= anao watoto?-ndio wawili-wanahitaji kulelewa na mama na baba watakusumbua wewe
swali #3= je wewe hupendi kuwa na familia yako like hupendi kuwa mke na mama wa watoto?-i wish na nimejitahidi imeshindikana. hujashindwa bado kama kweli unapenda kuolewa
swali #4= unayo amani nafsini mwako? Kwamba imani yako haikusuti wala hujiskii kuwa unakosea?- najiskia kukosea but sina jinsi nimechoka kulia. sasa hapa ndipo utakaolia zaid manake jiandae kulogwa na huyo mkewe tena na kutiwa nuksi hadi za mavi au mayai viza
jibu maswali haya kisha nitakwambia kitu ndugu yangu.

Ushauri wangu kwako
achana naye kabla hujaendelea kuumia zaid, kama unaweza nipigie simu 0787202304 kwa ushauri zaid. Unachokosa wewe ni faraja na ushauri wenye matumaini.

Professional chancellor
nashukuru kwa ushauri
mimi ni msichana nadhani ni mzuri/kawaida siwezi kusema mimi ni mbaya but sina bahati ya kupata mwanaume mzuri nadhani sio bahati yangu na mimi sitaki kuumizwa moyo wangu tena jamani kesho huwa haifiki
 
depends na mtu mwenyewe.., watu tupo tofauti, ila kama alimfumania na anaumia kuwa nae mshauri atafute divorce au waachane asiendelee kuumia (after all ni rafiki yako), pia mweleze kabisa what you have between the two of you hutegemei kwamba kutakuwa na future (sio aache akitegemea kupata mwingine, wewe kumbe wewe haupo tayari).

Anyway relationship kama hii lazima wote muwe on the same page..., take one step after another (na kama yeye anao watoto huwezi kujua labda atakuwa anatafuta mama wa kulea watoto.., all these needs to be communicated).
mimi nipo nae naangalia tu kwa sasa kama nikipata mtu perfect nitamuacha .hata yeye akimrudia mkewe poa tu sijali
 
nashukuru kwa ushauri
mimi ni msichana nadhani ni mzuri/kawaida siwezi kusema mimi ni mbaya but sina bahati ya kupata mwanaume mzuri nadhani sio bahati yangu na mimi sitaki kuumizwa moyo wangu tena jamani kesho huwa haifiki

usijali dada nipigie nikutane na wewe, nitakushauri na kukusaidia hakuna lisolowezekana.
 
there is always a rise before a fall, I am sure at the end of time utajikuta ume fall.
Any way live your life but your perception towards the future may cost you. Ebu jichunguze mimi nahisi tatzo ni wewe mwenyewe.
 
mimi nipo nae naangalia tu kwa sasa kama nikipata mtu perfect nitamuacha .hata yeye akimrudia mkewe poa tu sijali
Kuwa nae huyo kunaweza kupelekea wewe usipate mwingine..,

Alafu kumbuka hakuna mtu perfect..., the only trick is loving an imperfect man perfectly.., ninachokushauri usiwe na haraka, just do your things jipende endelea na maisha, (lakini epuka kufanya mambo yanayoweza kukuweka kwenye matatizo).., akitokea mtu anakupenda / mnapendana take it slow.., angalia kama mnaendana (kama unampenda utachukua na mapungufu yake, hayo ndio maisha), asipopatikana au usipoona anayekufaa na kukupa furaha usilazimishe, life goes on.., lakini if you look around am sure there are so many around unless you are trying to find angels from human beings (they don't exist)

Instead of complaining the rose bush is full of thorns, be happy the thorn bush has roses
 
Huyu dada anaonekana anajali sana
Ila hataki kukiri anajali ili ajifariji

Amekata tamaa ya mapenzi

Anasema hajali kuhusu familia yake wakati hapo hapo anajua ana watoto 2 na partially divorced. Contradictions tu.

Naona ameshindwa kukabiliana na heart breaks na kuamua kuishi hivi anavyoishi.

Kwa wanaoweza kumshauri, msaidieni.

mimi ai, bado una thamani sana, na kuna wanaotamani sana kuwa na wewe milele, basi tu hujapata nafasi ya kuwapata.

Pole lakini, nakuelewa!
 
there is no any man known as Mr.perfect, the secret is just looking beyond perfection otherwise you will end up being used and left alone
 
Relationship mbaya za
kitapeli
Unajuaje na huyo japo ni mume wa mtu (divorced partially mean bado ni
mume wa mtu hawajaachana rasmi) ana malengo ya muda mfupi na wewe
Siku wakirudiana na mke wake rasmi na wewe si utaachwa kwenye
mataa

Ana dalili zote za kulizwa tena. Hata kama hamna commitment siku jamaa akirekebisha na mkewe lazima bidada atam miss tu na kulia kuko palepale,tena ataumia zaidi maana alishabwaga moyo akiamini maumivu bye bye only b'se No Strings Attached. Ameruka majivu anakanyaga moto.
 
Kuwa nae huyo kunaweza kupelekea wewe usipate mwingine..,

Alafu kumbuka hakuna mtu perfect..., the only trick is loving an imperfect man perfectly.., ninachokushauri usiwe na haraka, just do your things jipende endelea na maisha, (lakini epuka kufanya mambo yanayoweza kukuweka kwenye matatizo).., akitokea mtu anakupenda / mnapendana take it slow.., angalia kama mnaendana (kama unampenda utachukua na mapungufu yake, hayo ndio maisha), asipopatikana au usipoona anayekufaa na kukupa furaha usilazimishe, life goes on.., lakini if you look around am sure there are so many around unless you are trying to find angels from human beings (they don't exist)

Instead of complaining the rose bush is full of thorns, be happy the thorn bush has roses
kama ni wa kupata ningepata siku zote sidhani kama kuwa nae kuna leta tofauti kwanza tupo kwa siri
 
Huyu dada anaonekana anajali sana
Ila hataki kukiri anajali ili ajifariji

Amekata tamaa ya mapenzi

Anasema hajali kuhusu familia yake wakati hapo hapo anajua ana watoto 2 na partially divorced. Contradictions tu.

Naona ameshindwa kukabiliana na heart breaks na kuamua kuishi hivi anavyoishi.

Kwa wanaoweza kumshauri, msaidieni.

mimi ai, bado una thamani sana, na kuna wanaotamani sana kuwa na wewe milele, basi tu hujapata nafasi ya kuwapata.

Pole lakini, nakuelewa!
ni kweli uyasemayo.sina jinsi
 
Since nimeona ni ngumu kupata the perfect man to stay with for serias relationship. Nimedecide kuwa na mwanaume mmoja hivi kutoana upweke na kukidhi tamaa zetu za kimwili.
Ni mume wa mtu but yupo available....(divorced partialy)
ni rafiki yangu kwa muda mrefu ni mzuri sana. To me its better this way
hatuna commitment towards each other tupo tu kupeana raha.
Sijali kuhusu future cause future huwa siioni naishia tu kuumia
nimekosea?

hujui kama unazini? adhabu ya uzinifu ni.......:A S-fire1:
:A S-fire1:
 
kama ni wa kupata ningepata siku zote sidhani kama kuwa nae kuna leta tofauti kwanza tupo kwa siri
Kama hajatokea umpendae hakuna haja ya kulazimisha sababu tu haujapata, (maybe anza kutembelea sehemu tofauti na kukutana na watu tofauti (lazima utakutana na mtu). As of siri hakuna siri ya watu wawili.., tena hizi bones in the closet they may came back to haunt you one day.., labda umepata mtu kesho unayemthamini hili ndio linatokeza kwamba ulikuwa unatembea na mme wa mtu.. !

Remember....;
Desperation is like stealing from the Mafia; you stand a good chance of attracting the wrong attention
 
sidhani kama kuna mwanaume anaenipenda nimejitahidi kuwapenda lakini mwishoni nawakuta sio am tired let me relax here
 
Back
Top Bottom