Nimekosea wapi ndugu zangu msaada, nifanyaje?

Nimekosea wapi ndugu zangu msaada, nifanyaje?

Kama yeye hajawahi sema ni tatizo wewe kiherehere cha nini? Pengine anarizika!
Mkuu hii hari kwasasa nitofauti sana sio kiherehere, nipotofauti mkuu ata yeye namwonatofauti tunapokuwa faragha.
 
Umefanya sahihi kabisa,wanawake ni watu ambao wakipenda mahali huwa hawataki kutafakari,ila shida yao kubwa ni pale mnapokuwa mmeowana huwa wanabadilika sijui huwa ni vishawishi au ni nini,leo hii anaweza kukubaliana na wewe kuishi katika hali ulionayo lakini ukashangaa baada ya kuoa anaanza kashfa na vituko akipondea hali uliyonayo,kwahiyo ni afadhali umemwambia mapema na ikiwezekana achana naye kwani iko siku atakutenda nawe tayari uko kwenye ndoa.
 
Pole sana kamanda lakini Maelezo yako yanaonesha mpenzi wako huyo kuto tatizwa na hiyo hali kwa sasa, labda kwake mapenzi ni zaidi ya sex lakini pia machine kushindwa kufanya kazi kama inavyo takiwa ni tatizo kubwa sana kwa mwanaume hasa kisaikolojia.
Nakushauli utafute tiba ya hilo tatizo mapema kwani hutoweza ya furahia maisha. Hata ukiwa na pesa hilo tatizo litakufanya ujione maskini na kukosa raha daima.
Pia mzizimkavu anahusika sana hapa, akusaidie nini ufanye kutatua tatizo ila kwa Mimi na kushauri upate tiba ya kisaikolojia kwanza.

Pole sana kamanda na usimuoe huyo mpenzi wako mpaka utakapo tatua tatizo lako otherwise litajitokeza tatizo lingine la kugongewa nje.
Asante inspector shamba ushari wako ntaufanyia kazi mkuu nashukuru sana.
 
Mmmhmmh.. some women duh.. Lord help us and forgive our sins.. Naomba nikupe pole kwa unayopitia.. Binafsi sikushauri kukosa Amani na Furaha. If ulijaribu kupata tiba hospitals nakadhalika na ikashindikana still usife moyo . Naomba usifikirie kuoa kwanza for now ili tatizo lipate tiba then ndio uowe. Jaribu kupata msaada Wa kiroho Wa Maombi kwa maana kuna mambo mengine ni Evil Spirits. Sijajua kama ni mkristo or muislam but just elewa kwa Yesu haijalishi ni dini gani Bali ni imani yako ndio itakuponya..Huyo Dada anafikiria tuu ndoa ili aonekane na yeye ameolewa lakini akifika huko ndani ya ndoa sidhani kama ataiweza. Kama alikuwa na busara angekusikiliza tatizo lako pale ulipotaka kuongea nae na kukusupport 100% kwa Ku make sure hilo tatizo liko solved before hamjaoana . Nakushauri usiende kujitambulisha kwanza. Ni bora akulaumu now kuliko baadae after marriage. Kuna possibilities akaja shindwa kukuvumilia na kuanza kuku cheat na
Dharau on the top. Dear kama ni wako atarudi tuu usijipe pressure for now angalia suluhisho ya tatizo ulilo nalo kwanza. Thanks..
Dah asante sana sana kwa ushauri wako nashukuru sana mkuu
 
Pole sana mkuu. Tatizo ni kwamba hajapokea huo ukweli. Kwa mtazamo wangu anaona unamdanganya na unatafuta sababu ya kumwacha
Anahisi hivyo malimingiii nisingeweza kujifanyisha hata kidogo, nampenda sana ni bonge na demu shepu, sura na nimchapa kazi yupo vizuri napat hofu ndugu yangu.
 
hilo tatizo linatibika as long as inasimama ila haichukuh muda basi tatizo ni hormones haziko balanced, ila dose yake ni ya muda maana huchukua takribani miezi mitatu, usijali utapona, ntaku-pm namba ya doctor wangu utamalizana naye mwenyewe, pole sana!
Kaka ndio hormones haziko sawa, very low testostereno. Msaada pls.
 
Mkuu kwani mpenzi wako ana umri gani? Perhaps she is just too young to comprehend seriousness of what you are facing? Or maybe yuko in denial ? Ila kama si mtoto then I'd say ni mnafiki na anasumbuliwa na tamaa ya ndoa.

Side note: Kudos to you for bringing the issue up vs. of sweeping it under the rug. If I were on her shoes I would have been appreciative instead of kukasirika. We all know matatizo hayakimbiwi, sooner or later you they will catch up to you and then.......................
Anaitafuta 27 mwezi october.
 
Ushauri please,

Mimi na mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka kama 2 sasa. Kwa zaidi ya mwaka nimekuwa na matatizo ya erection na kukosa hamu kabisa ya mapenzi.

Nashindwa kabisa kumaintain erection, nimekwenda hospital nimeambiwa testosterone imeshuka sana, nimepewa dawa lakini wapi mambo ni yale yale.

Natamani kuoa lakini kwajinsi hari yangu ilivyo namuonea huruma mtoto wa watu ataishi maisha gani na mimi kwenye hari hii. Huwa inatokea nashindwa kuperform sometime dudu ikisima hata dakika haichukui inalala msichana huwa ananicheka tuu! nimehama hadi nilipokuwa naishi iliniwe mbali nae lakini bado hunifuata.

Nilimkimbia ilikama anamtu apate nafasi ya kuwa nae, na azione tofauti zilizopo then atafanya maamuzi sahihi.Herbal clinic nimezunguka mpaka nimechoka, naona napoteza pesa zangu tu.Yani mapenzi kwangu imekuwa ya kuvizia tu.

Sasa jana kaniuliza unakuja lini kujitambulisha nyumbani?

Ikabidi ni mwambie kwanza kunajambo naomba tuonge, nikamwambia kuhusu hili tatito langu nijue anasemaje juu yahili? Majibu yake sasa,amekasirika anasema nimemuharibia maisha, kama nimepata mtu sinimwambie tu.amenitakia maisha mema pia anasema hata nitafuta tena tenaaa.Amekasirika hataki kupokea simu yangu wala kujibu text zangu.

Nimekosea wapi ndugu zangu? Nilitaka kuliweka sawa hili ndo mambo mengi yafuate sikuwa na maana mbaya kwasababu na mpenda kiukweli.Nasoma humu jinsi wanawake wanavyolalamika kwenye ndoa zao nilitaka kumuweka tayari kwa hilo.

Ushauri ndugu zangu nini chakufanya kumpenda nampenda sana tuu

Piscine habari za leo........pole sana rafiki yangu mpendwa, tatizo lako linatibika sawa sawa na kurudi kwa hali yako ya kawaida ndani ya mwizi mmoja na utakuwa umetibu tatizo lako kabisa na kuweza kuoa na kupata watoto wa familia yako...
TAFADHARI SOMA HII THREAD YANGU HAPA CHINI, ALAFU UKILIZIKA NA MAELEZO NITAFUTE TUSHAURIANE RAFIKI...
Haya hapa ni matibabu yake wapendwa
Hello Dear friends and everyone ...........some people have sexual potency problems in their relationship and marriage too, this is due to different facts such as High stress, hormonal problems,and others do affect sexual desire and ability.....Do not worry about it, I'm here to recover this problem
Here are some of our products you can you to recover from sexual potency problems
1. VIG POWER CAPSULES, Here are some of it's functions (a ) Conserves the vital power and strengthens the sexual ability through replenishing kidney (b ) Increases sperm count and improves sperm mobility (c ) Increases sexual desire of men, enhances the Oxygen content in blood which helps in penis erection for normal sexual performance. (d ) Helps with sexual dysfunctions such as premature ejaculation, erectile dysfunction or frequent spermatorrhea.
2. ZINC TABLES, Here are some of it's functions. (a ) Essential for optimal physical performance and energy levels. (b ) for protein synthesis and proper function of red and white blood cells. (C ) Participates in synthesize of more than 200 metalloprotease and nucleic acid. (D ) Enhances immunity and accelerates would healing. (e )Supports reproductive system of men and women and helps with infertility....
WENYE MATATIZO YA NDOA NA UHUSIANO WA KIMAPENZ KWA SABABU YA UPUNGUFU WA TENDO LA NDOA AU KUTOWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA , HILO TATIZO LINATIBIWA NA KUONDOKA KABISA NA KURUDISHA HESHIMA YAKO YA NDOA AU UHUSIANO WAKO WA KIMAPENZI KATIKA UBORA WAKE NA MVUTO PIA.............KWA PAMOJA KILA TATIZO TWAWEZA LITATUA KAMA TUTAPATA TAARIFA KAMILI NA MATIBABU SAHIHI.....ASANTENI SANA
FOR MORE DETAILS CALL ME BY 0654158574/0765353056/0684974811
..................................................WE SHARE, WE CARE.......WELCOME
 

Attachments

  • 1440043830865.jpg
    1440043830865.jpg
    54.6 KB · Views: 80
pole sana mkuu, pamoja na tiba zote lakini tiba ya kwanza ni ya kisaikolojia ili uweze kupata utulivu wa kutafuta tiba sahihi.

tumia muda mwingi sana kufanya mazoezi na lishe bora , kuanzia sahivi epuka vyakula vya kukaangwa, kula michemsho, mbogamboga, matunda , maji yakutosha, ili mwili uwe na nguvu uweze kujitibu.

nakushauri sana utumie miti shamba sana huwa inasaidia watu wengi mno.
huku unapiga msosi bora
 
Ndugu pole sana, hebu nitafute kwa 0718265581, 0686907486 tuongee kwa undani zaid nione namna ya kukusaidia. Hili tatizo linatatulika.
 
Back
Top Bottom