- Thread starter
- #21
Mkuu hii hari kwasasa nitofauti sana sio kiherehere, nipotofauti mkuu ata yeye namwonatofauti tunapokuwa faragha.Kama yeye hajawahi sema ni tatizo wewe kiherehere cha nini? Pengine anarizika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii hari kwasasa nitofauti sana sio kiherehere, nipotofauti mkuu ata yeye namwonatofauti tunapokuwa faragha.Kama yeye hajawahi sema ni tatizo wewe kiherehere cha nini? Pengine anarizika!
Pole ndugu!
Asante inspector shamba ushari wako ntaufanyia kazi mkuu nashukuru sana.Pole sana kamanda lakini Maelezo yako yanaonesha mpenzi wako huyo kuto tatizwa na hiyo hali kwa sasa, labda kwake mapenzi ni zaidi ya sex lakini pia machine kushindwa kufanya kazi kama inavyo takiwa ni tatizo kubwa sana kwa mwanaume hasa kisaikolojia.
Nakushauli utafute tiba ya hilo tatizo mapema kwani hutoweza ya furahia maisha. Hata ukiwa na pesa hilo tatizo litakufanya ujione maskini na kukosa raha daima.
Pia mzizimkavu anahusika sana hapa, akusaidie nini ufanye kutatua tatizo ila kwa Mimi na kushauri upate tiba ya kisaikolojia kwanza.
Pole sana kamanda na usimuoe huyo mpenzi wako mpaka utakapo tatua tatizo lako otherwise litajitokeza tatizo lingine la kugongewa nje.
Dah asante sana sana kwa ushauri wako nashukuru sana mkuuMmmhmmh.. some women duh.. Lord help us and forgive our sins.. Naomba nikupe pole kwa unayopitia.. Binafsi sikushauri kukosa Amani na Furaha. If ulijaribu kupata tiba hospitals nakadhalika na ikashindikana still usife moyo . Naomba usifikirie kuoa kwanza for now ili tatizo lipate tiba then ndio uowe. Jaribu kupata msaada Wa kiroho Wa Maombi kwa maana kuna mambo mengine ni Evil Spirits. Sijajua kama ni mkristo or muislam but just elewa kwa Yesu haijalishi ni dini gani Bali ni imani yako ndio itakuponya..Huyo Dada anafikiria tuu ndoa ili aonekane na yeye ameolewa lakini akifika huko ndani ya ndoa sidhani kama ataiweza. Kama alikuwa na busara angekusikiliza tatizo lako pale ulipotaka kuongea nae na kukusupport 100% kwa Ku make sure hilo tatizo liko solved before hamjaoana . Nakushauri usiende kujitambulisha kwanza. Ni bora akulaumu now kuliko baadae after marriage. Kuna possibilities akaja shindwa kukuvumilia na kuanza kuku cheat na
Dharau on the top. Dear kama ni wako atarudi tuu usijipe pressure for now angalia suluhisho ya tatizo ulilo nalo kwanza. Thanks..
Anahisi hivyo malimingiii nisingeweza kujifanyisha hata kidogo, nampenda sana ni bonge na demu shepu, sura na nimchapa kazi yupo vizuri napat hofu ndugu yangu.Pole sana mkuu. Tatizo ni kwamba hajapokea huo ukweli. Kwa mtazamo wangu anaona unamdanganya na unatafuta sababu ya kumwacha
Kaka ndio hormones haziko sawa, very low testostereno. Msaada pls.hilo tatizo linatibika as long as inasimama ila haichukuh muda basi tatizo ni hormones haziko balanced, ila dose yake ni ya muda maana huchukua takribani miezi mitatu, usijali utapona, ntaku-pm namba ya doctor wangu utamalizana naye mwenyewe, pole sana!
Anaitafuta 27 mwezi october.Mkuu kwani mpenzi wako ana umri gani? Perhaps she is just too young to comprehend seriousness of what you are facing? Or maybe yuko in denial ? Ila kama si mtoto then I'd say ni mnafiki na anasumbuliwa na tamaa ya ndoa.
Side note: Kudos to you for bringing the issue up vs. of sweeping it under the rug. If I were on her shoes I would have been appreciative instead of kukasirika. We all know matatizo hayakimbiwi, sooner or later you they will catch up to you and then.......................
Ushauri please,
Mimi na mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka kama 2 sasa. Kwa zaidi ya mwaka nimekuwa na matatizo ya erection na kukosa hamu kabisa ya mapenzi.
Nashindwa kabisa kumaintain erection, nimekwenda hospital nimeambiwa testosterone imeshuka sana, nimepewa dawa lakini wapi mambo ni yale yale.
Natamani kuoa lakini kwajinsi hari yangu ilivyo namuonea huruma mtoto wa watu ataishi maisha gani na mimi kwenye hari hii. Huwa inatokea nashindwa kuperform sometime dudu ikisima hata dakika haichukui inalala msichana huwa ananicheka tuu! nimehama hadi nilipokuwa naishi iliniwe mbali nae lakini bado hunifuata.
Nilimkimbia ilikama anamtu apate nafasi ya kuwa nae, na azione tofauti zilizopo then atafanya maamuzi sahihi.Herbal clinic nimezunguka mpaka nimechoka, naona napoteza pesa zangu tu.Yani mapenzi kwangu imekuwa ya kuvizia tu.
Sasa jana kaniuliza unakuja lini kujitambulisha nyumbani?
Ikabidi ni mwambie kwanza kunajambo naomba tuonge, nikamwambia kuhusu hili tatito langu nijue anasemaje juu yahili? Majibu yake sasa,amekasirika anasema nimemuharibia maisha, kama nimepata mtu sinimwambie tu.amenitakia maisha mema pia anasema hata nitafuta tena tenaaa.Amekasirika hataki kupokea simu yangu wala kujibu text zangu.
Nimekosea wapi ndugu zangu? Nilitaka kuliweka sawa hili ndo mambo mengi yafuate sikuwa na maana mbaya kwasababu na mpenda kiukweli.Nasoma humu jinsi wanawake wanavyolalamika kwenye ndoa zao nilitaka kumuweka tayari kwa hilo.
Ushauri ndugu zangu nini chakufanya kumpenda nampenda sana tuu