Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
- #21
Huna adabu kijana...Ni mchawi alikuwa anakuotesha hiyo ndoto ili apate pa kuanzia kukupakua humo humo ndotoni usingestuka mdoto ilikuwa hivi.Yule mchawi angekuotea na hela zake angekuambia ukitaka akuachie zile hela akupakue kwanza najua ungekubali tu mbele ya milioni tisa? Hivyo angekupakua kwa hiari yako mwenyewe na ungechukua hizo milioni tisa,ukiamka ahsubuhi unagundua ni ndoto tu ila kwenye ulimwengu wa kiroho mchawi anakuwa amakukamua kiukweliukweli.Kijana siku nyingine humo ndotoni usipende kuokotaokota kitu