Nimekua addicted na kamari naomba kusaidiwa kuacha

Nimekua addicted na kamari naomba kusaidiwa kuacha

Habari wanajamvi,

Poleni na msiba wa mr president, tuliumbwa na mungu na mavumbini tutarudi.
Niende moja kwa moja kwenye mada
Nimeanza kucheza michezo ya kubahatisha (betting)
Muda mrefu sana ambayl naweza ita kamari kwa upande mwingine.

Hatua niliyofikia kwa sasa ni mbaya wakuu:
1: Nikipata hela kubwa nafikiria kamari hasa spin and win, black jack na roulette wale wa cassino watakua wanaijua hio michezo.

2: Nisipocheza kamari sisikii raha kabisa

3: Ni shinda nafurahi.

4: Nikiliwa pia kuna muda nafurahi.

5: Pesa hazikai mfukoni kabisa.

6: Imani inakua kubwa sana kwamba nitatoboa lakini nilishaona naelekea kwenye umasikini.

7: Nikiweka kwa simu nitacheza live cassino.

Napata shida sana wakuu naombeni ushauri wa kuachana na masuala ya kamari mimi ni kijana ambaye napambana sana lakini jitihada zangu zinakwamishwa na betting.

Nawasilisha!


View attachment 1729610


Kama kuacha kamari unashindwa je na mvuta sigara na mnywa pombe wasemeje??
 
Mwamini mkeo na ukipata pesa mkabidhi yote. Kisha ukitaka kununua kitu mwambie akakununulie akuletee hata kama ni bia usiende baa na hela wewe akusindikize mkeo.

Ukimudu kufikisha pesa hom basi kuacha kuko karibu. Nawasilisha
Sawa
 
Katika kamari ni Roulette peke yake inayoweza kukupatia pesa mara kwa mara. Ukiijulia "Roulette" wala hautakaa ujutie.
Lakini ikiwa umefikia mahali huwezi tena kujimiliki na kujizuia basi tafuta kitu kingine cha kufanya ambacho kitakuzuia wewe kucheza kamari.
Roulette unakupa pesa ambayo inakushawishi urudi kesho yake
 
Kamari ni addiction kama addiction zingine


Sio kweli, kamari ni tabia na ni rahisi kuachana na tabia ambayo inajenga mazoea hiyo ni tofauti na pombe, bangi, sigara na cocaine ambazo husababisha addiction zinazochagizwa na mfumo wa kibaiolojia, mfano unaposikia njaa hiyo njaa inachagizwa na nfumo wa kibaiolojia ndani ya mwili, ni involuntary action.
 
Sio kweli, kamari ni tabia na ni rahisi kuachana na tabia ambayo inajenga mazoea hiyo ni tofauti na pombe, bangi, sigara na cocaine ambazo husababisha addiction zinazochagizwa na mfumo wa kibaiolojia, mfano unaposikia njaa hiyo njaa inachagizwa na nfumo wa kibaiolojia ndani ya mwili, ni involuntary action.
Ukiigeuza kamari kua kazi inakugeuza kua kitoweo[emoji3]
 
Kamari ni tamu sana ukiwa na upepo au ukiwa unacheza deal na wachezeshaji kamali! Ila mkishikwa wote mnakua kwenye matatizo yakufungiwa kuingia kwenye Cassino!

Kaka,huo mchezo ni wewe mwenyewe kuamua kuacha tu,kuna Mzee mmoja anaitwa Byagati,huyu mzee amefirisika sababu ya kamari,kauza hadi nyumba zake! Kuna mchina pia alijipiga gun baada yakupigwa 300M! Nimecheza sana Roulette,nimekula sana pesa,sio nyingi lakini zinatosha sana! Nenda na laki 2,zikipigwa sepa home,sio uende kwenye atm kuchota nyingine,nazo zitapigwa!

Ukipiga bingo,utagegeda mademu wengi sana wa mle,kuanzia cashier,wahudumu wa vinywaji na wale wachezeshaji,maana wengi wao ni wazuri kweli!

Palm beach,Las Vegas, Premier,Maccau, Galaxy,The Grande,Sea Cliff,The Princess pote huko member wao! Hadi tulikua marafiki sana na mmiliki wa Palm Beach,Sea Cliff na The Grande, Mr Costa!

Ushauri wangu,ili uweze kuacha acha kuwaza kua kule kuna pesa za faster,pia baada ya mishe zako za town sepa zako home,angalia movie,kama una gari wek mbali kabisa ufunguo,na kama una mke,jaribu kumusikiliza kama hataki utoke,usiende kweli acha! Mbona utazoea tu nakuacha!

Pia I was like you,kuna siku nilipigwa 1M halafu next week Ada ya dogo inatakiwa! Aiseee,niliona kila kitu kichungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana umenipa akilo
 
aseeee hii mi michezo isikie tu yaani nimecheza sana hilo spin, keno, farasi lakini wapi mazee, mpira naweka mpaka laki 2 saa nyingine laki, ila nimepata milioni 3.2 kwenye keno na still sijafanya nayo la maana.

sitakaa nisahau nililiwa laki 6 kwenye spin la premier ndani ya masaa 3. ila unakula saa ingine yule cashier naye unamla papuchi, asee kuna mmoja nimemla sana. ila haya makitu nikuamua kuacha kufanya mambo mengine kuwa bize tu.
Nimeuza pc kisa spin la premier
 
Ni
Pole sana mkuu, njia mojawapo ni kudiss hiyo michezo mbele za watu... Unapoona watu wanacheza kamali wadiss kwa nguvu zote kwamba kamali ni utoto na hakuna watakachopata zaidi ya kupoteza muda, hii itakusaidia wewe kujisikia aibu pindi ukiwa na wacheza kamali wenzio.
Sawa umwambie mlevi pombe ni mbaya
 
😂😂😂😂 haya mambo mazito kaka mi pia ishanikuta. unatoa 0, 26 na 3 anabaki 32 au anasogea 35 mchezo wakiizi ule cheusi chekundu ule.
 
Back
Top Bottom