Nimekua addicted na kamari naomba kusaidiwa kuacha

aseeee hii mi michezo isikie tu yaani nimecheza sana hilo spin, keno, farasi lakini wapi mazee, mpira naweka mpaka laki 2 saa nyingine laki, ila nimepata milioni 3.2 kwenye keno na still sijafanya nayo la maana.

sitakaa nisahau nililiwa laki 6 kwenye spin la premier ndani ya masaa 3. ila unakula saa ingine yule cashier naye unamla papuchi, asee kuna mmoja nimemla sana. ila haya makitu nikuamua kuacha kufanya mambo mengine kuwa bize tu.
Unakula mara 2? Au hakuwa na pesa ya kukulipa unaamua kujilipa?
 
😂😂😂😂 haya mambo mazito kaka mi pia ishanikuta. unatoa 0, 26 na 3 anabaki 32 au anasogea 35 mchezo wakiizi ule cheusi chekundu ule.
Angalia movie inaitwa god of gamblers 2 ndo utajua figisu zipo
 
Pole mkuu ,mi pia ni muhanga wa uraibu wa kamari...nlianza kwa kutest tu nione experience ya wachezaji betting ikoje ..kama ilivyoada mwanzo kabisa nilibeti timu moja nikashinda..nikaona mchezo si ndio huu...ebanaa kilichotokea baadae ni vipigo...ikitokea nimemla kanji nasema hii faida ngoja ni re invest tena huenda nitapata zaidi nirudishe pesa zangu nilizoliwa ila daaaa vipigo vinaendela...mbaya zaidi nikasema ngoja niangalie upepo wa virtual games kama instant virtual, virtual football leagues, roulette, spin wheel,black jack,Crypto crash games,baccarat, poker n.k nimefanikiwa kujua hizi games na strategies kibao za kuzicheza ila nimeona ni upumbavu mchezo wa kamari hasa huu wa online kwani the house always wins kama alivyowahi kunambia KeyserSoze ,mwanzo sikumuelewa nini anamaanisha nikasema ngoja niendelee kuexplore this industry dah ni mwendo wa hasara tu....

Side effects nilizokwisha kuzipata ni kama depression, stress,anxiety, kujitenga na jamii , naweza kucheza kamari siku nzima na usiku pia sipati usingizi nakesha na simu kucheza kamari, kupatwa na uvivu wa kufanya kazi, hata imani yangu ktk dini imeshuka, nimekuwa mtu wa kutegemea lucky, sometimes unapoloose sana inakuvurugia moods kiasi hata hamu ya tendo la ndoa na mke wangu nakuwa silipati nawaza tu jinsi gani naweza kuirudisha pesa yangu.Pesa imekuwa haikai mkononi mwangu tofauti na kipindi sijaujua huu mchezo. Kifupi betting is a recipe for poverty.

Pia betting inaweza kukusababishia matatizo ya kiafya kama kupata shinikizo la damu.The way pressure inavyojaa mwilini pindi unapobeti na kusubiria matokeo. Inaweza kukupelekea hata ukazimia. Ni mchezo hatari kiafya unapoloose sana hata hamu ya kula chakula inapotea.

Kiufupi nakiri kuwa mraibu wa kamari ila kuanzia sasa hivi nakula yamini kuuacha huu mchezo forever.Pia namuomba Mungu aniongoze nisiweze kurejea kwenye huu ushetani.

Online casinos ndio zimenimaliza pesa aisee...yaani kama roulette unaback options zote kasoro labda namba mbili tu ukitegemea kuwa una zaidi ya 95% ya kushinda kuzingatia hii kitu wanayoitangaza kuwa wanatumia RNG (Random number generator) ila kiuhalisia hizi games zinakuwa rigged...utashangaa kila muda namba zinazojirudia ni zile ambazo hujaziwekea. Kitu ambacho kiuhalisia katika roulette hakipo hivyo. Hakuna strategy system inayoweza kuzishinda hizi betting companies.. Si martingale,fibbonacci n.k hakuna kila system utakayoitumia jua mbeleni unakwensa kulia.Hizi games wameziwekea Artificial intelligence technology ili kusoma pattern ya strategy unayoitumia so unaposhinda sana tu hii system inaanza kugeuka na kukumalizia bankroll.

Mwisho nawaasa wengine waachane na huuchezo hakuna utajiri katika kamari unless una unlimited funds na hata hao mabilionea bado wanaliwa sana na haya makampuni ya kinyonyaji.

Chris wood vp ndugu umefanikiwa kuacha au umerejea tena.?
 
Mtoa uzi pole sana unachotakiwa kukifanya ni kufuta betting apps zote, prediction apps zote futa, kama una documents zinazofundisha betting zote futa...stay clean from these garbages!!! Piga moyo konde ...Songa mbele na tafuta rizki yako katika njia ya Halali tu.Mungu atabariki kazi ya mikono yako.
 
Ngoja nile ela za europa
 
Namba 15 nilishawahi kuipiga nimeiwekea 125,000 ikashuka 4m na kidogo.....namba 12 ilikua na 80,000,35 pia n.k
Roulette ni mchezo ambao uko very addictive, i wish results zingekuwa kweli ni random ila casino wanachezea sana hizo meza na softwares
 
Na
Habari wanajamvi,

Poleni na msiba wa mr president, tuliumbwa na mungu na mavumbini tutarudi.
Niende moja kwa moja kwenye mada
Nimeanza kucheza michezo ya kubahatisha (betting)
Muda mrefu sana ambayl naweza ita kamari kwa upande mwingine.

Hatua niliyofikia kwa sasa ni mbaya wakuu:
1: Nikipata hela kubwa nafikiria kamari hasa spin and win, black jack na roulette wale wa cassino watakua wanaijua hio michezo.

2: Nisipocheza kamari sisikii raha kabisa

3: Ni shinda nafurahi.

4: Nikiliwa pia kuna muda nafurahi.

5: Pesa hazikai mfukoni kabisa.

6: Imani inakua kubwa sana kwamba nitatoboa lakini nilishaona naelekea kwenye umasikini.

7: Nikiweka kwa simu nitacheza live cassino.

Napata shida sana wakuu naombeni ushauri wa kuachana na masuala ya kamari mimi ni kijana ambaye napambana sana lakini jitihada zangu zinakwamishwa na betting.

Nawasilisha!

View attachment 1729610
Na hilo dude ukizungusha mara zote linaangukia kwenye zero ..
Mi namba ipo mingi ila inaenda kwenye zero tu M****e
 
Pole mkuu ,mi pia ni muhanga wa uraibu wa kamari...nlianza kwa kutest tu nione experience ya wachezaji betting ikoje ..kama ilivyoada mwanzo kabisa nilibeti timu moja nikashinda..nikaona mchezo si ndio huu...ebanaa kilichotokea baadae ni vipigo...ikitokea nimemla kanji nasema hii faida ngoja ni re invest tena huenda nitapata zaidi nirudishe pesa zangu nilizoliwa ila daaaa vipigo vinaendela...mbaya zaidi nikasema ngoja niangalie upepo wa virtual games kama instant virtual, virtual football leagues, roulette, spin wheel,black jack,Crypto crash games,baccarat, poker n.k nimefanikiwa kujua hizi games na strategies kibao za kuzicheza ila nimeona ni upumbavu mchezo wa kamari hasa huu wa online kwani the house always wins kama alivyowahi kunambia KeyserSoze ,mwanzo sikumuelewa nini anamaanisha nikasema ngoja niendelee kuexplore this industry dah ni mwendo wa hasara tu....

Side effects nilizokwisha kuzipata ni kama depression, stress,anxiety, kujitenga na jamii , naweza kucheza kamari siku nzima na usiku pia sipati usingizi nakesha na simu kucheza kamari, kupatwa na uvivu wa kufanya kazi, hata imani yangu ktk dini imeshuka, nimekuwa mtu wa kutegemea lucky, sometimes unapoloose sana inakuvurugia moods kiasi hata hamu ya tendo la ndoa na mke wangu nakuwa silipati nawaza tu jinsi gani naweza kuirudisha pesa yangu.Pesa imekuwa haikai mkononi mwangu tofauti na kipindi sijaujua huu mchezo. Kifupi betting is a recipe for poverty.

Pia betting inaweza kukusababishia matatizo ya kiafya kama kupata shinikizo la damu.The way pressure inavyojaa mwilini pindi unapobeti na kusubiria matokeo. Inaweza kukupelekea hata ukazimia. Ni mchezo hatari kiafya unapoloose sana hata hamu ya kula chakula inapotea.

Kiufupi nakiri kuwa mraibu wa kamari ila kuanzia sasa hivi nakula yamini kuuacha huu mchezo forever.Pia namuomba Mungu aniongoze nisiweze kurejea kwenye huu ushetani.

Online casinos ndio zimenimaliza pesa aisee...yaani kama roulette unaback options zote kasoro labda namba mbili tu ukitegemea kuwa una zaidi ya 95% ya kushinda kuzingatia hii kitu wanayoitangaza kuwa wanatumia RNG (Random number generator) ila kiuhalisia hizi games zinakuwa rigged...utashangaa kila muda namba zinazojirudia ni zile ambazo hujaziwekea. Kitu ambacho kiuhalisia katika roulette hakipo hivyo. Hakuna strategy system inayoweza kuzishinda hizi betting companies.. Si martingale,fibbonacci n.k hakuna kila system utakayoitumia jua mbeleni unakwensa kulia.Hizi games wameziwekea Artificial intelligence technology ili kusoma pattern ya strategy unayoitumia so unaposhinda sana tu hii system inaanza kugeuka na kukumalizia bankroll.

Mwisho nawaasa wengine waachane na huuchezo hakuna utajiri katika kamari unless una unlimited funds na hata hao mabilionea bado wanaliwa sana na haya makampuni ya kinyonyaji.

Chris wood vp ndugu umefanikiwa kuacha au umerejea tena.?
Dah
 
Back
Top Bottom