Nimekua addicted na kamari naomba kusaidiwa kuacha



Kama kuacha kamari unashindwa je na mvuta sigara na mnywa pombe wasemeje??
 
Mwamini mkeo na ukipata pesa mkabidhi yote. Kisha ukitaka kununua kitu mwambie akakununulie akuletee hata kama ni bia usiende baa na hela wewe akusindikize mkeo.

Ukimudu kufikisha pesa hom basi kuacha kuko karibu. Nawasilisha
Sawa
 
Roulette unakupa pesa ambayo inakushawishi urudi kesho yake
 
Kamari ni addiction kama addiction zingine


Sio kweli, kamari ni tabia na ni rahisi kuachana na tabia ambayo inajenga mazoea hiyo ni tofauti na pombe, bangi, sigara na cocaine ambazo husababisha addiction zinazochagizwa na mfumo wa kibaiolojia, mfano unaposikia njaa hiyo njaa inachagizwa na nfumo wa kibaiolojia ndani ya mwili, ni involuntary action.
 
Ukiigeuza kamari kua kazi inakugeuza kua kitoweo[emoji3]
 
Pole sana umenipa akilo
 
Nimeuza pc kisa spin la premier
 
Ni
Sawa umwambie mlevi pombe ni mbaya
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya mambo mazito kaka mi pia ishanikuta. unatoa 0, 26 na 3 anabaki 32 au anasogea 35 mchezo wakiizi ule cheusi chekundu ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…