kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Hiyo kitaalamu inaitwajeKuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike.
So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa.
Umetisha sana mwambaKuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike.
So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa.