dump
JF-Expert Member
- Mar 23, 2020
- 642
- 958
Habari zenu ndungu zanguni, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba Daktari anisaidie kuhusu kitu kinacho itwa SAUNA.
Najua wengi tunafahamu kuhusu SAUNA,nimekua na uraibu wa sauna mda mrefu sana,nikiwa mapumzikoni jioni lazima niende nikatoke jasho.
Je, Madaktari mnasemaje kuhusu hii kitu haina madhara na kama ina madhara ni yapi?.