Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Nipe. Ili nimpe hi,nimuulize kama ameshapata mafao yake au bado anazungushwa tu. Maana nasikia kwa sasa wastaafu wengi wanasota kwa muda mrefu bila kupata mafao yao.Nikupe namba yake umsalimie?