T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Nov 24, 2021 #21 Mwizukulu mgikuru said: Nikupe namba yake umsalimie? Click to expand... Nipe. Ili nimpe hi,nimuulize kama ameshapata mafao yake au bado anazungushwa tu. Maana nasikia kwa sasa wastaafu wengi wanasota kwa muda mrefu bila kupata mafao yao.
Mwizukulu mgikuru said: Nikupe namba yake umsalimie? Click to expand... Nipe. Ili nimpe hi,nimuulize kama ameshapata mafao yake au bado anazungushwa tu. Maana nasikia kwa sasa wastaafu wengi wanasota kwa muda mrefu bila kupata mafao yao.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 24, 2021 #22 Haina tatizo...