Habari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo.
Naombeni msaada katika hili.
Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna natokewa na vipele kama vile vya kung’atwa na mbu. Nimetumia dawa aina ya SONADEM lakini naona tatizo bado linaendelea.
Msaada tafadhali [emoji17][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuvaa zinazokubana mkuu au kma unavaa zisizo kubana achana na suruali vaa mavazi mengine.
Pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Usivae nguo zinazokubana na usitumie dawa kwanza ukiona bado vinaendelea nenda hospitali
nitumie picha yako PM ukiwa umevaa surualiHabari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo.
Naombeni msaada katika hili.
Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna natokewa na vipele kama vile vya kung’atwa na mbu. Nimetumia dawa aina ya SONADEM lakini naona tatizo bado linaendelea.
Msaada tafadhali [emoji17][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi? Inaonekana haya maradhi yameenea Dar. Watoto wangu walikuwa Dar wamerudi Mwanzoni mwa Dicember, mpaka sasa bado wana muashoHabari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo.
Naombeni msaada katika hili.
Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna natokewa na vipele kama vile vya kung’atwa na mbu. Nimetumia dawa aina ya SONADEM lakini naona tatizo bado linaendelea.
Msaada tafadhali [emoji17][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawashwa baada ya kuvua tu? Una amka Usiku kujikuna? Ni kwenye mapaja tu au hata kwenye kiuno hata sehemu ya makalio?Habari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo.
Naombeni msaada katika hili.
Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna natokewa na vipele kama vile vya kung’atwa na mbu. Nimetumia dawa aina ya SONADEM lakini naona tatizo bado linaendelea.
Msaada tafadhali [emoji17][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawashwa baada ya kuvua tu? Una amka Usiku kujikuna? Ni kwenye mapaja tu au hata kwenye kiuno hata sehemu ya makalio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kubadilisha Nguo za ndani, hakikisha ni kavu kabisa, na nyoosha Nguo za ndani kabla ya kuzivaa.
Pia vaa Nguo za ndani zisizobana hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi? Inaonekana haya maradhi yameenea Dar. Watoto wangu walikuwa Dar wamerudi Mwanzoni mwa Dicember, mpaka sasa bado wana muasho
Basi itakuwa sio scabies. Ugonjwa wa scabies unawasha sana usiku. Unawashwa mpaka unatokea viuvimbe. Na kawaida huo ugonjwa huwasha pale ulipo ingilia.Nikivua tu tight ndio najikuna sana, ila nikiacha kujikuna nikaoga muwasho unaisha. Na ni kwenye mapaja tu hapa katikati kwenye msuguano na sio sehemu nyingine Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi itakuwa sio scabies. Ugonjwa wa scabies unawasha sana usiku. Unawashwa mpaka unatokea viuvimbe. Na kawaida huo ugonjwa huwasha pale ulipo ingilia.
Labda ujaribu kutumia nguo za cotton ili uone Kama kuna utofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi unahitaji kukunwa😀