Nimekua Tabora, pazuri ila nimelishwa vumbi, Afrika tusichekane

Tunauliza hivi mbona leo umekuwa mstaarabu??? Lazima uufyate kwa sababu barabara ya Nairobi-Nakuru ina lami ya zamani na mashimo kibao, niliwahi fika huko nikalala pale Bontana Hotel, Nakuru padogo vipi unalinganishaje Nakuru na Tabora????

Samahani huku hatujadili mambo ya kuskia vijiweni maana ni dhahiri hujafika Nakuru wewe, au hujatumia hiyo barabara ya Nakuru-Nairobi, nafikiri hata Watanzania wenzio waliowahi kufika huko wanakushangaa na kunyamaza kwa jinsi unavyotia aibu.
 
Hivi kule Isevia bado kuna yale mambo flani mpaka leo..?
 
MK254 amekuwa very clear, sijui hujamwelewa wapi, hata kama ni kumchukia jirani, not to that effect!
 
Tunauliza hivi mbona leo umekuwa mstaarabu??? Lazima uufyate kwa sababu barabara ya Nairobi-Nakuru ina lami ya zamani na mashimo kibao, niliwahi fika huko nikalala pale Bontana Hotel, Nakuru padogo vipi unalinganishaje Nakuru na Tabora????
itakuwa wewe ni mwendawazimu...unalinganisha Nakuru na taka?
 
Lkn Kenya kwa Definition ni middle income country maana yake ni kwamba Kenya siyo nchi masikini, Tanzania yetu bado ni least developed country hivyo bado tuna matatizo ya nchi masikini, sasa sioni kuna shida gani kuelewa hapo!
Kwa hali ya kawaida Kenya haikupaswa kuwa na barabara kama hiyo ya kwetu ulioiweka hapo!
 
Ujumbe umefika...................................
 
Sasa barabara ya kati ilivyoharibika na mvua za Elnino 1998 ilikuwa mtu unatoka Dar - Arusha - Nairobi - Kisii - Kisumu - Kampala mpaka Bukoba (24hours upo kwenye gari, non stop labda mpakani hasa upande wetu wa Tanzania kama umefika kabla ya saa 12 asubuhi.

Advantage ya Kenya, mji mkuu wa Kibiashara / Serikali (Nairobi) upo kama katikati kiaina hivyo tripu zote zinaanzia pale kwenda sehem zingine za nchi tofauti na sie barabara imenyooka kilometa kibao kuitafuta Dar na magari mengi yanatoka mikoani yanaingia hivyo kwa siku abiri wengi wanatembea kilometa nyingi kinoma
 
Tunauliza hivi mbona leo umekuwa mstaarabu??? Lazima uufyate kwa sababu barabara ya Nairobi-Nakuru ina lami ya zamani na mashimo kibao, niliwahi fika huko nikalala pale Bontana Hotel, Nakuru padogo vipi unalinganishaje Nakuru na Tabora????
Hivi Barabara ya Nairobi Nakuru
 
Huyu KIUMBE sasa hivi atakuwa anafaidi Watoto zetu. Yaani hadi wamemfunza Kinyamwezi... Mwangaluka/Mwandila.

Na mimi ngoja nifanye juu chini nikishughulikie Kidada cha Kikenya.

Mie sina la kusema zaidi ya kukuambia "MSULA EVE..."

Karibu sana Tabora ila SIKONGE upishie mbali πŸ™‚
Dereva ndio huwa na dashboard lakini kwa abiria inabidi kukisia. Anyway nimeelewa kuwa ni 80km
 
Isevya mkuu, barabara hiyo ya vumbi ni mwendo wa saa moja na dakika sita kwa mwendo wa basi.
 
Nikumanyire mngosha, lugha huleta ushemeji...hehehehe!!

Ipo siku unikaribishe Sikonge, sitaharibu mambo. Japo niliishia mjini mjini, natumai unapajua Oxygen na WhatsApp maana hayo maeneo niliserebuka balaa.
 
Sikonge kuna nin mbona unamtisha sana sababu wote n wanyamwez
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huwa unakuja Tabora mara kwa mara mkuu??
 
Sikonge pako poa kabisa. Gongo na nyama mwitu kwa wingi.

Mashombe wa Kiarabu na Wanyamwezi wenyewe wamependeza kabisa. Karibu tu wewe.

Inabidi nimtishe kidogo ili nione kama kweli kapenda au mpiga bakora na kulala mbele. Heheheee
Sikonge kuna nin mbona unamtisha sana sababu wote n wanyamwez
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaliwu sana Mgosya !!!! Naona kweli wamekupa shule. Msalimie huyo NYANSO wako anayekufundisha hehehee....
Nikumanyire mngosha, lugha huleta ushemeji...hehehehe!!

Ipo siku unikaribishe Sikonge, sitaharibu mambo. Japo niliishia mjini mjini, natumai unapajua Oxygen na WhatsApp maana hayo maeneo niliserebuka balaa.
 
Hehehehe!! Mbona mimi mstaarabu siku zote...
Tatizo mkitembelewa na mgeni mnataka ataje mazuri yote bila doa hata moja, nikitaja doa mnatiririka povu.
WAOOOO! Karibho ku ntobhora. Karibu tena, tena na tena jisikie uko nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…