MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Tunauliza hivi mbona leo umekuwa mstaarabu??? Lazima uufyate kwa sababu barabara ya Nairobi-Nakuru ina lami ya zamani na mashimo kibao, niliwahi fika huko nikalala pale Bontana Hotel, Nakuru padogo vipi unalinganishaje Nakuru na Tabora????
Samahani huku hatujadili mambo ya kuskia vijiweni maana ni dhahiri hujafika Nakuru wewe, au hujatumia hiyo barabara ya Nakuru-Nairobi, nafikiri hata Watanzania wenzio waliowahi kufika huko wanakushangaa na kunyamaza kwa jinsi unavyotia aibu.