Nilishafika huko.Jamaa alinipeleka ukumbi mmoja hivi,nili-enjoy sana na live bandSikonge pako poa kabisa. Gongo na nyama mwitu kwa wingi.
Mashombe wa Kiarabu na Wanyamwezi wenyewe wamependeza kabisa. Karibu tu wewe.
Inabidi nimtishe kidogo ili nione kama kweli kapenda au mpiga bakora na kulala mbele. Heheheee
Panaitwa mwanambuya, ukumbi wa aliyekuwa mbunge wa sikonge said nkumbaNilishafika huko.Jamaa alinipeleka ukumbi mmoja hivi,nili-enjoy sana na live band
PoapoaNategemea kuja mara moja baada ya kila kama miezi miwili hivi, nitakuPM nikija, pazuri sana pale.
Yap n jina hilo hiloPanaitwa mwanambuya, ukumbi wa aliyekuwa mbunge wa sikonge said nkumba
Ok, ni vema kama MPANGO huo upo.Huo mkoa unaunganishwa
kwanza barabara inakalibia kukamilika
Mpanda-Sumbawanga
Inayo fuata ni Mpanda-Tabora kupitia Sikonge
pia ni Mpanda -Uvinza
hizi zote zipo kwenye Mpango huo
Kwani ninyi manyang'au hamjui lugha za kistaarabu??? matusi ya nini??? Nakuru tunapajua hakuna kitu paleitakuwa wewe ni mwendawazimu...unalinganisha Nakuru na taka?
Hoa nivijana wa Kibera achana naoKwani ninyi manyang'au hamjui lugha za kistaarabu??? matusi ya nini??? Nakuru tunapajua hakuna kitu pale
Imeshaweka lami yoteIle barabara ya tokea nzega mpaka tabora haijawekwa lami tu?
GoodImeshaweka lami yote
Hivyo vifaa mpaka vifike Kenya zinahitajika karne si chini ya 7Kuna watu wanaishi Nakuru na wanafanya kazi Nairobi, yaani gari ukiichezea kwenye 100km/h halafu bararabara yenyewe imenyooka mbona Nairobi unafika ndani ya muda mchache sana.
Aisei Tanzania ni kubwa, binafsi nimetembelea mikoa yenu mingi, yaani nalala na kuamka na kulala mara kadhaa na hatufiki, madereva wenu wa mabasi wana nguvu sana, halafu huwa naona kuna polisi wana zile radar za kukamata taarifa za kasi, hivyo inabidi dereva asafiri taratibu kwenye chini ya 80km/h.
Nizaidi ya 80Wewe ni mwongo nahisi hujafika huko umesimuliwa,
Hicho kipande ni km80, halafu sio kuanzia manyoni, ni mbele ya Itigi ndio hicho kipande kimeanzia,
Halafu kama huftaki vumbi ungepita Singida-Nzega-Tabora, ungefurahia mkeka saaafi kabisa.
Uachage majungu.
May be, ila kwa uzoefu wangu, (Nimepita sana hiyo barabara ), ni km 80!Nizaidi ya 80
Mk nadhani umepita muda mrefu sana barabara hiyo zimebaki 20km tu kutoka manyoni mpaka tabora mjiniNdio maana nikasema kwenye title yangu kwamba Afrika tusichekane, najua kuna maeneo Kenya yenye barabara ya vumbi hususan kaskazini ambapo kuna watu wachache huko. Japo hiyo yenu niliona kama ni 'National Trunk Road' au type B. Sidhani kama Kenya tuna type A, B na C ambazo bado ni murram, I stand to be corrected.
Nilikua najua ile ya Kitale-Lokichar lakini imeshughulikiwa kwa ajili ya mafuta ya Turkana.
Anyway tutafika tu.
Nchi za kiafrica zinafanana sana sana hakuna kuchekana thats true coz utaona nchi moja ina miji miwili au mitatu iliyochangamka the rest inakuwa hovyo tu ilimradi wanaitwa watu wa taifa hilo mambo yanaendaHehehehe!! Mbona mimi mstaarabu siku zote...
Tatizo mkitembelewa na mgeni mnataka ataje mazuri yote bila doa hata moja, nikitaja doa mnatiririka povu.
Tunauliza hivi mbona leo umekuwa mstaarabu??? Lazima uufyate kwa sababu barabara ya Nairobi-Nakuru ina lami ya zamani na mashimo kibao, niliwahi fika huko nikalala pale Bontana Hotel, Nakuru padogo vipi unalinganishaje Nakuru na Tabora????