Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

SPONSA

Senior Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
178
Reaction score
270
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea.

Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha hilo kuwa kweli ni bikra.

Hajawahi kunambia ananipenda lakini mimi nilishamweleza hisia zangu na anajua nampenda ila huwa sipati mrejesho mzuri kutoka kwake hajawahi kunionesha mapenzi kama nayomuonesha mimi kwa kifupi mimi ndie namuonesha nimempenda sana.

Yeye huwa ananistukiza tu nakutaka niwe nae faragha gafla na baada ya kuwa nae anarudi kuwa vilevile hana time namimi lakini kwangu mimi ndio anazidi kunifanya nimpende. Naomba kuuliiza tabia yake hii inatokana na nini.

Ni Binti ninayeishi nae nyumba moja ya kupanga. Alishanambia kama mara tatu niwe nae faragha kwasababu kuna jambo huwa nalifanya analipenda ukiacha kuingiza dudu. Nikiwa nae tunaenjoy tukimaliza anarudi vilevile mikausho mikali na kunambia nikae nae mbali mara hanipendi hataki kuwa na mm hajawahi kunipenda sasa najiuliza sana kwanini ananiambia niwe nae faragha naombeni ushauri huyu binti ana nini maana nateseka mimi na mahisia yangu. Nimempenda sana.
 
Hata kidole hakiendi analiaa maumivu tunafnya romance a vtu vingne lkn tukimaliza anasema hanipendi hajawahi kunipenda yan shit kama zote ndo huwa sielewi
Ni Bikra alafu unaingiza dudu?unaliingizia wapi?

Mvua haijaisha
 
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea.

Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha hilo kuwa kweli ni bikra.

Hajawahi kunambia ananipenda lakini mimi nilishamweleza hisia zangu na anajua nampenda ila huwa sipati mrejesho mzuri kutoka kwake hajawahi kunionesha mapenzi kama nayomuonesha mimi kwa kifupi mimi ndie namuonesha nimempenda sana.

Yeye huwa ananistukiza tu nakutaka niwe nae faragha gafla na baada ya kuwa nae anarudi kuwa vilevile hana time namimi lakini kwangu mimi ndio anazidi kunifanya nimpende. Naomba kuuliiza tabia yake hii inatokana na nini.

Ni Binti ninayeishi nae nyumba moja ya kupanga. Alishanambia kama mara tatu niwe nae faragha kwasababu kuna jambo huwa nalifanya analipenda ukiacha kuingiza dudu. Nikiwa nae tunaenjoy tukimaliza anarudi vilevile mikausho mikali na kunambia nikae nae mbali mara hanipendi hataki kuwa na mm hajawahi kunipenda sasa najiuliza sana kwanini ananiambia niwe nae faragha naombeni ushauri huyu binti ana nini maana nateseka mimi na mahisia yangu. Nimempenda sana.
Huyu sio mwezi mchanga kweli?
 
Subiri akishatolewa bikra ulioshindwa kuitoa wewe ataanza kukupenda.
 
Back
Top Bottom