Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Bikra ni nini?Ndio mzee yupo hvyo kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra ni nini?Ndio mzee yupo hvyo kweli
Ana miaka 22 kaka yan yupo sild kweli ni binti wa misimamo ya dini. Sijui hata imekuaje kanitunuku three times kuwa nae na mm sikutaka kutuka kufanya pupa kuitoa hiyo kwasababu najua angenichukia mapema sana. Na mm nina lengo nae huyu binti ila ndo hvyo hata simuelew wakati mwengne anavyo nikatsha tamaa. Nikiwa nae anaenjoy kila ninachomfanyia tukimaliza hanipendi hataki kuonana na mm yan dah.Ana umri gani? Kama yuko kwenye age na utayari wa kuolewa,na kama una nia kweli ya kumuoa,usimle fata process.... Kuna raha na hali fulani ya kuitoa bikra ndoani
Give me a plan kaka. Naona kama nishafeli kuwa nae kila nikibembeleza anasema nikae nae mbalistick to the plan....nowdays we larely meet with such kinda girls in the streets huh, yuo left her and won't get that golden chance again, BTW thats how they tend to be!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wanaoishi jirani na kipawa jet washaelewa ... jamaa anapita njia ya kushoto (kwa mpalange)Ni Bikra alafu unaingiza dudu?unaliingizia wapi?
Mvua haijaisha
Wanawake siyo wakuwaamini sana kijana. Utakuja shangaaAtakae nielewa sana ni mtu aliyekutana na hii situation kama yangu lakin kama hujakutana nayo hautanielewa.
Anamtunzia jamaa yakeManeno yako yananigusa kaka nishafanya yote kasoro kuingiza ukuni ndani na yupo vizuri kwenye romance na anaonesha ushirikiano. Tatzo tukimalizana hapo huwa hataki hata kuniona anasema nikae nae mbali najiuliza kwanini anakuwa hivyo sipataji majibu
We chelewa wajanja wenzio watampasua atakusahau mazima utatafuta kamba ya kataniNimesema siingizi dudu tunafanya mengne lakin tukiwa chumbani haujanielewa na huwa ananiita chumban kwake
Huwajui Malaya weweMzima yupo chuo mwaka wa kwanza anajielewa vzuri sana