hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Ngoja nimwite MpwayunguHivi yule aliyekuwa anafokea waalim yuko wapi? naona kama mnafanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimwite MpwayunguHivi yule aliyekuwa anafokea waalim yuko wapi? naona kama mnafanana
Ilishatokea kaka alisafirl hatukuonana wiki mbili alivorud alisema kanimiss ni kweli.Huyo rahisi sana tena endelea hivyo hivyo upo kwenye right path. Ila sasa kwa kuwa umesema unakaa nate nyumba moja, fanya mawili. Mfanye aku miss,, Potea kwa siku kama 3 hivi ukirudi utaona.
Ama mtie wivu, tafuta demu mkali kuliko yeye hata kwa kumkodi kwa dakika 5 tu. Nenda naye kwako ukiwa na uhakika yule atakuona. Ingia naye ndani kwako kwa dakika 3 tu, usizidishe. Then mruhusu atoke peke yake aende zake.
Kitakachofuata utakuja kunisimulia wewe
Hana bikra huyoo kwanza msichana bikra hawi hivyo ni maigizo hayo Kuna kitu wanapaka bro hamna kitu hapo na unavyombembeleza ndio unaingia kwenye mitego yake we fanya kumpotezea uoneeAtakae nielewa sana ni mtu aliyekutana na hii situation kama yangu lakin kama hujakutana nayo hautanielewa.
Sasa mkuu akipotea siku tatu akarud akakuta demu yuko P ,itabid asubiri siku tano tena, ukijumlisha na zile tatu jumla zinakua siku nane, huoni kama anapoteza muda adseHuyo rahisi sana tena endelea hivyo hivyo upo kwenye right path. Ila sasa kwa kuwa umesema unakaa nate nyumba moja, fanya mawili. Mfanye aku miss,, Potea kwa siku kama 3 hivi ukirudi utaona.
Ama mtie wivu, tafuta demu mkali kuliko yeye hata kwa kumkodi kwa dakika 5 tu. Nenda naye kwako ukiwa na uhakika yule atakuona. Ingia naye ndani kwako kwa dakika 3 tu, usizidishe. Then mruhusu atoke peke yake aende zake.
Kitakachofuata utakuja kunisimulia wewe
Mnaishi wapi?mkuu nije kuwasalimu?Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea.
Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha hilo kuwa kweli ni bikra.
Hajawahi kunambia ananipenda lakini mimi nilishamweleza hisia zangu na anajua nampenda ila huwa sipati mrejesho mzuri kutoka kwake hajawahi kunionesha mapenzi kama nayomuonesha mimi kwa kifupi mimi ndie namuonesha nimempenda sana.
Yeye huwa ananistukiza tu nakutaka niwe nae faragha gafla na baada ya kuwa nae anarudi kuwa vilevile hana time namimi lakini kwangu mimi ndio anazidi kunifanya nimpende. Naomba kuuliiza tabia yake hii inatokana na nini.
Ni Binti ninayeishi nae nyumba moja ya kupanga. Alishanambia kama mara tatu niwe nae faragha kwasababu kuna jambo huwa nalifanya analipenda ukiacha kuingiza dudu. Nikiwa nae tunaenjoy tukimaliza anarudi vilevile mikausho mikali na kunambia nikae nae mbali mara hanipendi hataki kuwa na mm hajawahi kunipenda sasa najiuliza sana kwanini ananiambia niwe nae faragha naombeni ushauri huyu binti ana nini maana nateseka mimi na mahisia yangu. Nimempenda sana.
TakujaSix madale.
Yan ni wapumbavu hawa vijana acha tu!!Ni Bikra alafu unaingiza dudu?unaliingizia wapi?
Mvua haijaisha
we endelea kumuonea huruma atolewe na mwingine uone balaa lake, maumivu kwake hayaepukiki acha kumuonea huruma kabla hujachana goli.Mkuu hii hali naipitia mimi sasaivi
Niko na demu kwenye mahusiano almost 2 months ni demu mkar sana wakuu ningekuwa na uwezo wa kuweka picha yake apa ningeweka ila sio sawa...uyu dem bana first time ananiambia yeye ni bikra nilikataa katakata (sababu jinsi alivyo yan ni mzuri na madem wa aina yake sisi wanaume hatukubar watupite)
Uyu dem bana mwanzi halikuwa nikimwambia swala la kuja geto ilikuwa n ugomvi sana yan chenga zilikuwa nyingi ad nikakata tamaa
Kuna time nilikata tamaa nikataka nimuache ila nikifikiria nasema hapana siwez kumuacha iv Iv
Anamiaka 22 na mazingira aliyo kulia n ndan sana, sasaiv anapata uhuru ata wakutoka sababu yupo chuo
Nilianza kumvuta kuja geto adi nikachoka, kuna siku nikajifanya ninaumwa kama siku 3 najifanya nipo hom ( uzur ilikuwa weekend) alionesha kunijal sana simu kula mda na mambo kibao tukapanga aje kuniona juma3 kabla ya kwenda chuo (nikajisemea kaingia mkenge uyu [emoji3][emoji3]) kufika juma tatu akanirusha na sababu ambazo hazina kichwa wala miguu
Mtu mzima nikajifanya nimenuna kwamba hanipendi yan naumwa hatak ata kuja kuniona akawa akipiga simu sipokei akituma text sijibu yan iyo n asubuh ad jion, alilalamika sana iyo kitu ilivyo finally usiku kama saa 3 alipiga sim sana ikabid nipokee nikamwambia naangalia mpira nikimaliza nakuchek
Nilivyo maliza kumpigia kaanza kulia kwanini namfanyia ivyo mi nikamchana ukwel nikamwambia we unipemd wala unijali yan naumwa unashindwa ata kuja kuniona akaniambia basi kesho yake atakuja
Basi kesho yake akaja (apo bado siamin kama n bikra) kafika tumekaa piga stori tukaanza kiss mara touch za apa na pale mara tumetoaana nguo (ile siku sikutaka kuwa na pupa)nilienda nae taratibu alikuwa hataki kabisa sex ila romance alikuwa Ana enjoy sana, nikamfanyia kila kitu bila sex then nikamuacha akaenda
Juzi juma 3 akaja tena mwenyewe bila ata kumwambia aliniambia anataka tuonane home (hii siku nazan alikuja kajiandaa kwaajili ya kutolewa bikra) akaja tukafanya kila kitu ila nikijaribu kuingiza anapiga kelele sana yan anasema anaumia ( ila kuna time namuona ata yeye mwenyewe anajitaid anataka lakin anasikia maumivu anaacha ) alafu mi najikuta namuonea uruma kinoma yan
Jana kaingia period kaniambia akimaliza anakuja
Asa wakuu naomben ushauri namtoaje uyu dem bikra bila kupata maumivu makar sana yan naona yupo teyar ila kuna mda anasikia maumivu ad namuonea uruma
Saiv nishaamua akija next time namalizana nae...ila wanasumbua sana daaaah yan nimesema hii n bikra yangu ya kwanza na ya mwisho sitaki tenawe endelea kumuonea huruma atolewe na mwingine uone balaa lake, maumivu kwake hayaepukiki acha kumuonea huruma kabla hujachana goli.
Hakikisha unampenda mpaka atakapozingua yeye
Umejuaje kama ni bikira? Kwa kuwa nae tu faragha tu na kwa kuwa hakuachii uende all the way haimaanishi kuwa binti ni bikira. Mwanamke anaweza kukudanganya kuwa ni bikira na kujifanya ana haya na anaumia unapojaribu kumuingilia kumbe wapi!!!!Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea.