Nimekubali Mpira wa leo ni PESA

Nimekubali Mpira wa leo ni PESA

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda.

Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo ni PESA yaani unaweka PESA unapata PESA.

Tuseme tuna mikoa 20 Tanzania nzima, kila mkoa upangiwe jezi 5000 tu. Kila jezi ya Simba ni 30,000,
i
Twende kazi:-

20 x 5000x 30,000 = Billion 3. Hii ni kwa JEZI tu.

Kweli, Weka PESA upate PESA, huna PESA kaa pembeni au tembeza BAKURI.
 
Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda.

Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo ni PESA yaani unaweka PESA unapata PESA.

Tuseme tuna mikoa 20 Tanzania nzima, kila mkoa upangiwe jezi 50,000 tu. Kila jezi ya Simba ni 30,000,
i
Twende kazi:-

20 x 50,000x 30,000 = Billion 30. Hii ni kwa JEZI tu.

Sio rahisi kiivo unavyowaza mkuu.
 
Idadi hiyo upo uwezekano wa kuuza Mwanza, Mbeya, Arusha na Dodoma. Kwa Dar itakuwa zaidi ya idadi hiyo.
Kuuza idadi hiyo Katavi, Kigoma au Lindi haitakuwa rahisi.
 
,,
unataka kuniambia jezi 50,000 haziwezi kuuzika kwa msimu mmoja?

Swali dogo tu, Je unakubali kwamba washabiki na wanachama Simba leo wapo 60,000 pale Taifa? Kama unakubali hivyo sasa hizo jezi 50,000 unashindwaje kuziuza kwa msimu mzima?

Unadhania kiingilio cha tsh 5,000 ndio kitanunua jezi ya tsh 50,000?
 
Watanzania hamjielewi kaeni hivyo hivvyo, kuwa na timu yenye washabiki na wanachama approx 100,000 Tanzania ni mtaji mkubwa sana. Capital huwa si hela tu bali hata Brand ni capital.
Kudhihirisha kwamba hamjui kitu ni mtu eti anabisha kwamba huwezi kuuza jezi 50,000 katika Taifa lenye watu zaidi ya Mil 50.

Kinachohitajika ni marketing strategies,,,kwisha habari.
 
Basi hii nchi ingekua tajiri sana
kaka basi nibishie kwamba duniani hakuna mchezaji analipwa $650,000 kwa wiki...ukisema hayupo ntakubali... Mpira ni weka pesa upate pesa.

Watanzania tulikuwa tumelala kwenye sekta ya uchumi kwenye michezo - M0 kaona fursa katuamsha, Yanga watafuata sababu pia wana mtaji mkubwa (Brand) ila hawajui namna ya kuwekeza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jezi 50,000 unadhania kama kilo za UNGA sio? Afu 30000
We kilaza sana.. Jezi ipigiwe ingizo la juu la BIL 1
Kitambulisho cha Machinga cha Mheshimiwa Rais Magufuli watu wameshindwa kununua, wakati ukikinunua unafanya biashara bila bughudha. Iwe Jezi ya klabu acheni maskhara nyie!
 
,,
unataka kuniambia jezi 50,000 haziwezi kuuzika kwa msimu mmoja?

Swali dogo tu, Je unakubali kwamba washabiki na wanachama Simba leo wapo 60,000 pale Taifa? Kama unakubali hivyo sasa hizo jezi 50,000 unashindwaje kuziuza kwa msimu mzima?
Wangapi wanaomba au kukopa buku tano waende mpirani?
Huyo anarudi nyumbani kwa mguu baada ya mpira.
Katavi huwezi kuuza hata jezi 10,000
 
naongelea kwa msimu mzima, Hizi timu Yanga na Simba zingekuwa na marketing strategies nzuri tangu miaka hiyo zisingekuwa zinaomba omba - kama MO asingewekeza na kuweka hamasa unafikiri Simba ingefikia hapa? Uwekezaji wa MO ndiyo umefanya na Yanga wanaibuka sasa.

Kama hujui Mpira una nguvu kubwa sana kuliko hata haya makanisa... Mpira ni zaidi ya imani...
 
Mungu muweke miaka mingi MO Dewji
ni mbunifu, watu wamekaa na mihela kibao benki wanaiangalia tu kwenda kuchukua benki statement wakati kuna fursa kibao za kuwekeza...watanzania tupo nyuma sana, exposure hatuna tukubali ....

MO kinachomsaidia ni exposure- fursa anaziona kwa haraka na kuzitumia.

Mpira una nguvu sana na ndiyo maana Serikali ipo makini sana na hizi timu mbili Yanga na Simba - Jiulize kwa nini
 
naongelea kwa msimu mzima, Hizi timu Yanga na Simba zingekuwa na marketing strategies nzuri tangu miaka hiyo zisingekuwa zinaomba omba - kama MO asingewekeza na kuweka hamasa unafikiri Simba ingefikia hapa? Uwekezaji wa MO ndiyo umefanya na Yanga wanaibuka sasa.

Kama hujui Mpira una nguvu kubwa sana kuliko hata haya makanisa... Mpira ni zaidi ya imani...
Ww huna elimu ya biashara kaka.. kaa kimya
 
Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda.

Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo ni PESA yaani unaweka PESA unapata PESA.

Tuseme tuna mikoa 20 Tanzania nzima, kila mkoa upangiwe jezi 50,000 tu. Kila jezi ya Simba ni 30,000,
i
Twende kazi:-

20 x 50,000x 30,000 = Billion 30. Hii ni kwa JEZI tu.

Kweli, Weka PESA upate PESA, huna PESA kaa pembeni au tembeza BAKURI.
Mahesabu yako hayako kiuhalisia.. unajua idadi ya watu 50,000,?

Mtu kashindwa kulipia 20k kitambulisho cha biashara atoe 30k ya jezi?
 
Ww huna elimu ya biashara kaka.. kaa kimya
wewe unayejua elimu ya biashara endelea kubisha kwamba huwezi kuuza jezi 50,000 kwenye Taifa lenye watu milion 60. Biashara ya vitabuni inawatesa watanzania sana na wewe ni mfano tosha.
 
Back
Top Bottom