PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Bwana fuso. Umeongea point kuntu sana na mimi kama mfanyabiashara nimekubali mawazo yako mazuri.
ila akili mgando za upande wa 2 wanakubeza kwa kuleta ualisia wa kijinga katika biashara. Ndio maana wana tembeza mabakuli na kujipachika majina ya mabingwa wa kihistoria mara timu ya wananchi, ili kutafuta huruma za kusaidiwa.
ila wangejua mpira ni pesa wangemtumia bwana manji angeibadilisha yanga kwa haraka sana.