Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda.
Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo ni PESA yaani unaweka PESA unapata PESA.
Tuseme tuna mikoa 20 Tanzania nzima, kila mkoa upangiwe jezi 5000 tu. Kila jezi ya Simba ni 30,000,
i
Twende kazi:-
20 x 5000x 30,000 = Billion 3. Hii ni kwa JEZI tu.
Kweli, Weka PESA upate PESA, huna PESA kaa pembeni au tembeza BAKURI.