Sio rahisi kiivo unavyowaza mkuu.Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda.
Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo ni PESA yaani unaweka PESA unapata PESA.
Tuseme tuna mikoa 20 Tanzania nzima, kila mkoa upangiwe jezi 50,000 tu. Kila jezi ya Simba ni 30,000,
i
Twende kazi:-
20 x 50,000x 30,000 = Billion 30. Hii ni kwa JEZI tu.
Kweli, Weka PESA upate PESA, huna PESA kaa pembeni au tembeza BAKURI.
,,Sio rahisi kiivo unavyowaza mkuu.
Idadi hiyo upo uwezekano wa kuuza Mwanza, Mbeya, Arusha na Dodoma. Kwa Dar itakuwa zaidi ya idadi hiyo.Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda.
Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo ni PESA yaani unaweka PESA unapata PESA.
Tuseme tuna mikoa 20 Tanzania nzima, kila mkoa upangiwe jezi 50,000 tu. Kila jezi ya Simba ni 30,000,
i
Twende kazi:-
20 x 50,000x 30,000 = Billion 30. Hii ni kwa JEZI tu.
Kweli, Weka PESA upate PESA, huna PESA kaa pembeni au tembeza BAKURI.
baba swalehe wako watu wanapiga pesa kimya kimya ila wanajifanya kulia na ss vyuma vimekaza muongo muongoBasi hii nchi ingekua tajiri sana
,,
unataka kuniambia jezi 50,000 haziwezi kuuzika kwa msimu mmoja?
Swali dogo tu, Je unakubali kwamba washabiki na wanachama Simba leo wapo 60,000 pale Taifa? Kama unakubali hivyo sasa hizo jezi 50,000 unashindwaje kuziuza kwa msimu mzima?
kaka basi nibishie kwamba duniani hakuna mchezaji analipwa $650,000 kwa wiki...ukisema hayupo ntakubali... Mpira ni weka pesa upate pesa.Basi hii nchi ingekua tajiri sana
Kitambulisho cha Machinga cha Mheshimiwa Rais Magufuli watu wameshindwa kununua, wakati ukikinunua unafanya biashara bila bughudha. Iwe Jezi ya klabu acheni maskhara nyie![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jezi 50,000 unadhania kama kilo za UNGA sio? Afu 30000
We kilaza sana.. Jezi ipigiwe ingizo la juu la BIL 1
Wangapi wanaomba au kukopa buku tano waende mpirani?,,
unataka kuniambia jezi 50,000 haziwezi kuuzika kwa msimu mmoja?
Swali dogo tu, Je unakubali kwamba washabiki na wanachama Simba leo wapo 60,000 pale Taifa? Kama unakubali hivyo sasa hizo jezi 50,000 unashindwaje kuziuza kwa msimu mzima?
naongelea kwa msimu mzima, Hizi timu Yanga na Simba zingekuwa na marketing strategies nzuri tangu miaka hiyo zisingekuwa zinaomba omba - kama MO asingewekeza na kuweka hamasa unafikiri Simba ingefikia hapa? Uwekezaji wa MO ndiyo umefanya na Yanga wanaibuka sasa.Wangapi wanaomba au kukopa buku tano waende mpirani?
Huyo anarudi nyumbani kwa mguu baada ya mpira.
Katavi huwezi kuuza hata jezi 10,000
ni mbunifu, watu wamekaa na mihela kibao benki wanaiangalia tu kwenda kuchukua benki statement wakati kuna fursa kibao za kuwekeza...watanzania tupo nyuma sana, exposure hatuna tukubali ....Mungu muweke miaka mingi MO Dewji
Ww huna elimu ya biashara kaka.. kaa kimyanaongelea kwa msimu mzima, Hizi timu Yanga na Simba zingekuwa na marketing strategies nzuri tangu miaka hiyo zisingekuwa zinaomba omba - kama MO asingewekeza na kuweka hamasa unafikiri Simba ingefikia hapa? Uwekezaji wa MO ndiyo umefanya na Yanga wanaibuka sasa.
Kama hujui Mpira una nguvu kubwa sana kuliko hata haya makanisa... Mpira ni zaidi ya imani...
Mahesabu yako hayako kiuhalisia.. unajua idadi ya watu 50,000,?Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda.
Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo ni PESA yaani unaweka PESA unapata PESA.
Tuseme tuna mikoa 20 Tanzania nzima, kila mkoa upangiwe jezi 50,000 tu. Kila jezi ya Simba ni 30,000,
i
Twende kazi:-
20 x 50,000x 30,000 = Billion 30. Hii ni kwa JEZI tu.
Kweli, Weka PESA upate PESA, huna PESA kaa pembeni au tembeza BAKURI.
wewe unayejua elimu ya biashara endelea kubisha kwamba huwezi kuuza jezi 50,000 kwenye Taifa lenye watu milion 60. Biashara ya vitabuni inawatesa watanzania sana na wewe ni mfano tosha.Ww huna elimu ya biashara kaka.. kaa kimya
10,000 ? umeenda mbali sana. Jezi 5000Wangapi wanaomba au kukopa buku tano waende mpirani?
Huyo anarudi nyumbani kwa mguu baada ya mpira.
Katavi huwezi kuuza hata jezi 10,000