acha ubishi wa kijinga, hivi kabla ya hamasa ya Simba Day kubuniwa ulitegemea kwamba washabiki wa Simba au Yanga wanafikia 60,000 wa siku moja wakajaza uwanja?Mahesabu yako hayako kiuhalisia.. unajua idadi ya watu 50,000,?
Mtu kashindwa kulipia 20k kitambulisho cha biashara atoe ac30k ya jezi?
We huna ujualo ww umesema kila mkoa jezi 50,000 so ukizidisha na 30 unapata jezi 1,500,000... hapo ukizidisha na TZS 30,000 unapata pesa kubwa mno. WAHINDI WANGEDEAL NA HII ISHU.wewe unayejua elimu ya biashara endelea kubisha kwamba huwezi kuuza jezi 50,000 kwenye Taifa lenye watu milion 60. Biashara ya vitabuni inawatesa watanzania sana na wewe ni mfano tosha.
Ticket bei yake ni elfu 30 ?, quality ya jezi na mafanikio yanaendana na hio bei ?, replicas zikianza kuja zitakuwa na bei gani ? Kumbuka mara nyingi kuna watu wanapewa contract ya kutengenza na kuuza hizo jezi.., je hao watu mapato yao ni kiasi gani ? na Timu inachukua percent ngapi ?,,
unataka kuniambia jezi 50,000 haziwezi kuuzika kwa msimu mmoja?
Swali dogo tu, Je unakubali kwamba washabiki na wanachama Simba leo wapo 60,000 pale Taifa? Kama unakubali hivyo sasa hizo jezi 50,000 unashindwaje kuziuza kwa msimu mzima?
Unataka kusemaje labdaa yaan wamachingaa ni wangapii mkoani lindii kulinganishaa na mashabikii wa yangaa au simbaaa10,000 ? umeenda mbali sana. Jezi 5000
Sawa uko sahihi ila sio bongo labda karne ya mia mbilikaka basi nibishie kwamba duniani hakuna mchezaji analipwa $650,000 kwa wiki...ukisema hayupo ntakubali... Mpira ni weka pesa upate pesa.
Watanzania tulikuwa tumelala kwenye sekta ya uchumi kwenye michezo - M0 kaona fursa katuamsha, Yanga watafuata sababu pia wana mtaji mkubwa (Brand) ila hawajui namna ya kuwekeza.
Vyuma vimekaza kwenu mazee mi nlipoona tu ccm wamempitisha jamaa nikaanza kuweka strategiesbaba swalehe wako watu wanapiga pesa kimya kimya ila wanajifanya kulia na ss vyuma vimekaza muongo muongo
Mzee unachanganya madesa kasema jezi elfu hamsini kila mkoa sio tz nzimawewe unayejua elimu ya biashara endelea kubisha kwamba huwezi kuuza jezi 50,000 kwenye Taifa lenye watu milion 60. Biashara ya vitabuni inawatesa watanzania sana na wewe ni mfano tosha.
Kama zipi?Watanzania hamjielewi kaeni hivyo hivvyo, kuwa na timu yenye washabiki na wanachama approx 100,000 Tanzania ni mtaji mkubwa sana. Capital huwa si hela tu bali hata Brand ni capital.
Kudhihirisha kwamba hamjui kitu ni mtu eti anabisha kwamba huwezi kuuza jezi 50,000 katika Taifa lenye watu zaidi ya Mil 50.
Kinachohitajika ni marketing strategies,,,kwisha habari.
Hizo ni jezi nyingi sana. Kwa Tanzania target ile jezi 100,000.Matunda yote haya yote ni kutokana na uwekezaji mdogo wa Simba msimu uliopita, leo tunaona watani wetu nao wakifaidi matunda.
Sasa leo ntapiga hesabu ndogo tu kukuhakikishia kwamba mpira wa leo ni PESA yaani unaweka PESA unapata PESA.
Tuseme tuna mikoa 20 Tanzania nzima, kila mkoa upangiwe jezi 50,000 tu. Kila jezi ya Simba ni 30,000,
i
Twende kazi:-
20 x 50,000x 30,000 = Billion 30. Hii ni kwa JEZI tu.
Kweli, Weka PESA upate PESA, huna PESA kaa pembeni au tembeza BAKURI.
Nimekuelewa sana Kiongozi. Hata mimi napenda iwe hivyo lakini ukweli ubaki kuwa ukweli.naongelea kwa msimu mzima, Hizi timu Yanga na Simba zingekuwa na marketing strategies nzuri tangu miaka hiyo zisingekuwa zinaomba omba - kama MO asingewekeza na kuweka hamasa unafikiri Simba ingefikia hapa? Uwekezaji wa MO ndiyo umefanya na Yanga wanaibuka sasa.
Kama hujui Mpira una nguvu kubwa sana kuliko hata haya makanisa... Mpira ni zaidi ya imani...
Hukusema kwenye taifa zima hiyo 50000 kwa msimu,ulichosema nikatika kila mkoa na ndiomana ukazidisha 20x50000x3000.Angalia bandiko lakowewe unayejua elimu ya biashara endelea kubisha kwamba huwezi kuuza jezi 50,000 kwenye Taifa lenye watu milion 60. Biashara ya vitabuni inawatesa watanzania sana na wewe ni mfano tosha.
Sawa mkuu but hapo uwanjani wote wana jezi ya team? Unadhani wote wana uwezo wa kununua jezi mkuu au wote wanapenda kuvaa jezi ata kama ndio ni mpenzi/ shabiki wa team? Au unawaza kama watawala wetu kwamba ata korosho ikikosa wanunuzi soko la nje, basi soko la ndani la tosha kwa kila mtanzania kununua na kula kilo moja ya koro shoo!! Hahaaaaa,,
unataka kuniambia jezi 50,000 haziwezi kuuzika kwa msimu mmoja?
Swali dogo tu, Je unakubali kwamba washabiki na wanachama Simba leo wapo 60,000 pale Taifa? Kama unakubali hivyo sasa hizo jezi 50,000 unashindwaje kuziuza kwa msimu mzima?
Tatizo lako mkuu una generalize, sio wote unawaona hapo wamejaza uwanja ndo mashabiki wa simba kisa ni simba day. NO. Ingekuwa ni rahisi hivyo unavyowaza basi leo ambayo ndo kama sherehe ya simba ungeona uzi mwekundu tupu nadhaniacha ubishi wa kijinga, hivi kabla ya hamasa ya Simba Day kubuniwa ulitegemea kwamba washabiki wa Simba au Yanga wanafikia 60,000 wa siku moja wakajaza uwanja?
kwa hiyo unatusua tu wala kuku kwa mrija aloooo nipe mchongo basi baba swalehe ?Vyuma vimekaza kwenu mazee mi nlipoona tu ccm wamempitisha jamaa nikaanza kuweka strategies
hata kujamba timing si kila mahali si unajua mambo ya selfieeHESABU ZA MAKARATASI FC
unadhani mtu kutoa 30,000 ni rahisi kama kukojoa au kujamba eee?