Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nimekumbuka ule uzi wako ulisema SHOGA YAKO ALIMTEKENYA BODABODA hahahahahahahahahbodaboda wanamtamani kila mtu.ndo maana hawaendelei.ndo maana tunawachukua wanatupeleka km kadhaa na hatuwalipi
Mguu au taqqo?
Muwe na huruma basibodaboda wanamtamani kila mtu.ndo maana hawaendelei.ndo maana tunawachukua wanatupeleka km kadhaa na hatuwalipi
Sawa mkuu..ila usidanganywe na macho kk..maaskari wa kike huwa "wana mambo mengi" mkuu
Kama umenisoma basi fureeeshii kk[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kweny 'mambo mengi hapo'.......nimekusomaaa
Halafu kamevaa pete kabisa. Sitak kuamini kma na huyo jamaa ni mume wake. Hizi ndoa bana...!!!
Huyo ana mtuwake ... Chunga sana usije ukaishia selo..
Huyo ana mtuwake ... Chunga sana usije ukaishia selo..