Nimekufa nimeoza kwa Traffic wa kike wa Chang'ombe mataa

Nimekufa nimeoza kwa Traffic wa kike wa Chang'ombe mataa

Wakati wee unakuja kutoa chozi huku kuna jamaa ataenda kumlilia pale site kwake atang'oa mzigo na wewe ubaki na hadithi ya muazima jamvi ambae alichelewa kufikisha ujumbe akaja mtu from nowhere akafanikisha
 
Eti nawe una ndoa!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
trafiki.jpg


Huyo ana mtuwake ... Chunga sana usije ukaishia selo..
 
Nampenda yule dada nkifika pale akiwa anaongoza magari ntampiga picha
 
Njoo saa mbili unusu hapa balax nitamkuletea, ole wako umshindwe sasa utarukaruka humo kota ucku mzima
 
pole sana, bahati mbaya ni mke wangu, nimemtumia link hii kwa msg, amecheeeeeeka sana.japo nimeshamtaadharisha kuwa ukiwekwa jf, tayari utaanza kuviziwa!!

plz guys don do that plzzz
 
Mkuu mbon simple kabisa kama unagari nenda paki pale mwambie leo hujatembea na leseni akuandikie fine .....Nadhani utakuwa umepata starting point
 
Ongeza juhudi kwenye kufanya makosa mbele yake, ukiona akuchukulii hatua mfuate mwambie umefanya kosa
 
Back
Top Bottom