Nimekufa nimeoza kwa Traffic wa kike wa Chang'ombe mataa

Raha ya kuoa Mwalimu mkiwa tendoni anakupongeza very nice, very good, excellent, see me, keep it up, rudia tena.

Kimbembe traffic mkiwa tendoni

Stop, Washa wiper, switch engender, Washa endiketa, huna leseni, hujavaa mkanda hujavaa helmet matairi yako kipara. Shabaash tupo tendoni unanambia matairi kipara kweli! Sioi traffic mimi
 
Mm nimewai kumgegeda mmoja kiutani utani.Mara kanikamata mara hivi sikumoja nikamomba nambake .jilipue mkuu unamogopa bure .
 
Mimi yule wa Ubungo mataa asubuhi...black beauty fulani. Yaani kila nikipita pale lazima nimpige picha. Kuna siku kidogo anishtukie. Ngoja siku moja nitafanya kosa makusudi mbele yake, km ni faini wacha nipigwe tu
 
Hii sredi bhana!!

Kuna traffic was kike yupo pale muheza stande dsaah mazeee ana bonge LA body nyuma mavi mavi yamejaa hatari .

Alinipa mateso makuu .

Wakuu mkipita muheza stand mkiwa mnaelekea Tanga mjini mnifikishie salamu. Zangu
 
Sasa mku mbona huyo Traffic unaemsema ni jilani yangu huku mtaani kwetu tena ni mama wa mtoto mmoja na mumewe tuko nae japa JF.
 
Mkeo akiona huu ujinga lazma tu atagundua kuwa mmewe ana kichwa cha kuku,uko tyr kuvunja ndoa kwa sbb yake ?mshahalarisha kuchepuka ,mmeona ni kama legal actions nyingne,ndio maana watt mitaan hawaish kwa sbb ya kuwa na.wanaumee vichwa kuku
 
Best comment nimecheka sana
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mmh!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mimi yule wa Ubungo mataa asubuhi...black beauty fulani. Yaani kila nikipita pale lazima nimpige picha. Kuna siku kidogo anishtukie. Ngoja siku moja nitafanya kosa makusudi mbele yake, km ni faini wacha nipigwe tu
Hahahaaaa
 
Bila picha huu uzi ni batili
 
Round about ya Mlimani City anasimamaga afande ana zinga la GUU
 
Hahahahaha mbavu zanguuuuu hukuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Cc Smart911
 
[emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji602] [emoji601]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…