Nimekuja kujua kuna namna elimu ni chanzo cha umasikini

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
373
Reaction score
895
Wadau mambo ni gani aseee?

Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA.

Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi...

Kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, usifikirie kwamba nimekuja kujigamba au kujionesha hapana nasema ukweli ili uelewe mimi ni mtu wa aina gani.

Katika maisha yangu ya shuleni mpaka chuoni sikuwahi kuwa serious na masomo na sikupenda kujisomea.
Nilikuwa nikiona mtu anachukua daftar anaenda kusoma nilikuwa namuona kama vile amepotea hajui nini afanye yani kifupi nilikuwa sipendi kusoma.

Nilikuwa mtoto mtukutu sana, sieleweki, muhuni, mgomvi, natukana walimu, napigana na wenzangu, natoroka vipindi, yani kifupi nilikuwa sifai kuwa mwanafunzi.

Kilichokuwa kinafanya walimu na wanafunzi wanipende ni akili darasani na uwezo wangu wa kuelewa haraka.

Wanafunzi wenzangu walikuwa wanashangaa sana kwann nilikuwa vile lakin bado nilikuwa nafaulu, wengi walikuwa wananifata kuniuliza Siri ya uwezo wangu nilikuwa nakosa majibu sahihi nadhani na nilikuwa naishia kuwaambia kuwa hakikisha ukiwa unasoma uelewe unachokisoma na uweze kukideliver kwa usahihi kuzidi hata mwalimu.

I was better at biology and chemistry japo nilifaulu masomo yote.

Nakumbuka ilikuwa 2009 darasa la 6, siku hiyo kuna kiongozi alitumbuliwa pale skul ikatakiwa replacement yake chap.
Ilikuwa ni wakati wa kuagwa mida ya saatisa alasiri. Walimu waliwataka wanafunzi wawapendekeze wanafunzi wagombee ile nafasi basi wanafunzi wakanipoint mimi.
Baadhi ya walimu walikubali direct na wengine wakatia kama kiugumu flani hivi.

Sasa ilitakiwa tupige kampeni ya dakika maximum ili wanafunzi waone nani watampa kura yao ya ndio.
Ilipofika zamu yangu nilitumia dakika2 na sekunde kadhaa tu lakini muda wote walimu mpka wanafunzi walikuwa wanapiga makofi tu kutokana na Ile speech na sera nilizomwaga of course palepale kampeni iliahirishwa na nikapewa cheo on the spot hawakutaka kuendelea kupoteza muda.
Hii kitu ilinibakisha na maswali mengi kichwani.

Kilichokuwa kinawavutia zaidi walimu juu yangu ni uwezo wa kupata idea juu ya vitu ambavyo hata bado hawajavifundisha darasani.

Nakumbuka kuna siku mwalimu wa chemistry ilikuwa advance form 5 alikuwa bado hajafundisha topic flan lakin kwenye test alitoa swali kutoka katika hiyo topic hafu muhuni nikalipata huo ni mfano mmoja kati ya mingi.

Nilikuwa na talent ya kucheza na kuimba na nilifocus zaidi huko na niliamini katika Muzik lakini kitu kibaya nilishindwa kufanikiwa kwasababu ya mfumo wa elimu ya bongo ni ya kingese sana.

Katika kusoma kwangu sikuwahi kufeli, kurudia darasa wala kusap chuoni.

Honestly I was a brilliant and clever student.

Nilienda skul kuwaridhisha wazazi tu sikuwa na mpango na kusoma kabisa.

Katika safar yangu ya kusoma sikuwahi kuwa mwanafunzi mzuri upande wa nidhamu na toka naingia darasa la kwanza 2004 nilikuwa sitaki kusoma yani sielewi maswala ya kusoma sikuwa napenda kabisa.

Katika kusoma kwangu sikuwahi kupanga kwamba ntakuja kutoboa katika maisha kupitia elimu nitakayoipata shuleni.

MY NOTE
Kwa wazazi na walezi plz study your children, sio kila mtoto mwenye akili basi anatakiwa kusoma, kuna wengine wana akili lakini wanatakiwa kuwa guided in a direction yenyeni compatible to their inner potentials ili waweze ku exploit vizuri akili yao na waweze kutoboa katika maisha.

Naamini uwezo wangu na uelekeo wazaz wangu walionifosi nielekee sio kabisa.

Now I am jobless, nimesoma mpka chuo nina GPA nzuri tu hata mwaka jana niliitwa udsm kwaajili ya interview ya tutorial assistance but sikwenda kwasababu nipo katika job flan ambayo inanibana.

Lakini I know my destination is not at teaching au kutumikia elimu nilipata darasani I have to follow my potentiality.
 
Watu wa wekeze kwenye self development yaani their talent au manufacturing goods, ila sasa hapa kwenye manufacturing inabidi sekikali yako iwekeze ( double lives ) wema mbele nyuma ubaya, (UJASUSI), hii ndio itawafanya nyinyi raia kuwa huru mtu mmoja mmoja na hata taifa tazima.
Nchi zote zilizoendelea wana double lives
sisi africa tuna single life. NIMEONGEZEA BAADHI YA MAMBO YASIYOTAKIWA MKUU🙏
 
Watu wa wekeze kwenye self development yaani their talent au manufacturing goods, ila sasa hapa kwenye manufacturing inabidi sekikali yako iwekeze ( double lives ) wema mbele nyuma ubaya...
Umeongea kitu kizuri sana, naona kabisa hii western education ni trap
 
Wadau mambo ni gani aseee?

Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA.

Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi...

Kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, usifikirie kwamba nimekuja kujigamba au kujionesha hapana nasema ukweli ili uelewe mimi ni mtu wa aina gani.

Katika maisha yangu ya shuleni mpaka chuoni sikuwahi kuwa serious na masomo na sikupenda kujisomea.
Nilikuwa nikiona mtu anachukua daftar anaenda kusoma nilikuwa namuona kama vile amepotea hajui nini afanye yani kifupi nilikuwa sipendi kusoma.

Nilikuwa mtoto mtukutu sana, sieleweki, muhuni, mgomvi, natukana walimu, napigana na wenzangu, natoroka vipindi, yani kifupi nilikuwa sifai kuwa mwanafunzi.

Kilichokuwa kinafanya walimu na wanafunzi wanipende ni akili darasani na uwezo wangu wa kuelewa haraka.

Wanafunzi wenzangu walikuwa wanashangaa sana kwann nilikuwa vile lakin bado nilikuwa nafaulu, wengi walikuwa wananifata kuniuliza Siri ya uwezo wangu nilikuwa nakosa majibu sahihi nadhani na nilikuwa naishia kuwaambia kuwa hakikisha ukiwa unasoma uelewe unachokisoma na uweze kukideliver kwa usahihi kuzidi hata mwalimu.

I was better at biology and chemistry japo nilifaulu masomo yote.

Nakumbuka ilikuwa 2009 darasa la 6, siku hiyo kuna kiongozi alitumbuliwa pale skul ikatakiwa replacement yake chap.
Ilikuwa ni wakati wa kuagwa mida ya saatisa alasiri. Walimu waliwataka wanafunzi wawapendekeze wanafunzi wagombee ile nafasi basi wanafunzi wakanipoint mimi.
Baadhi ya walimu walikubali direct na wengine wakatia kama kiugumu flani hivi.

Sasa ilitakiwa tupige kampeni ya dakika maximum ili wanafunzi waone nani watampa kura yao ya ndio.
Ilipofika zamu yangu nilitumia dakika2 na sekunde kadhaa tu lakini muda wote walimu mpka wanafunzi walikuwa wanapiga makofi tu kutokana na Ile speech na sera nilizomwaga of course palepale kampeni iliahirishwa na nikapewa cheo on the spot hawakutaka kuendelea kupoteza muda.
Hii kitu ilinibakisha na maswali mengi kichwani.

Kilichokuwa kinawavutia zaidi walimu juu yangu ni uwezo wa kupata idea juu ya vitu ambavyo hata bado hawajavifundisha darasani.

Nakumbuka kuna siku mwalimu wa chemistry ilikuwa advance form 5 alikuwa bado hajafundisha topic flan lakin kwenye test alitoa swali kutoka katika hiyo topic hafu muhuni nikalipata huo ni mfano mmoja kati ya mingi.

Nilikuwa na talent ya kucheza na kuimba na nilifocus zaidi huko na niliamini katika Muzik lakini kitu kibaya nilishindwa kufanikiwa kwasababu ya mfumo wa elimu ya bongo ni ya kingese sana.

Katika kusoma kwangu sikuwahi kufeli, kurudia darasa wala kusap chuoni.

Honestly I was a brilliant and clever student.

Nilienda skul kuwaridhisha wazazi tu sikuwa na mpango na kusoma kabisa.

Katika safar yangu ya kusoma sikuwahi kuwa mwanafunzi mzuri upande wa nidhamu na toka naingia darasa la kwanza 2004 nilikuwa sitaki kusoma yani sielewi maswala ya kusoma sikuwa napenda kabisa.

Katika kusoma kwangu sikuwahi kupanga kwamba ntakuja kutoboa katika maisha kupitia elimu nitakayoipata shuleni.

MY NOTE
Kwa wazazi na walezi plz study your children, sio kila mtoto mwenye akili basi anatakiwa kusoma, kuna wengine wana akili lakini wanatakiwa kuwa guided in a direction yenyeni compatible to their inner potentials ili waweze ku exploit vizuri akili yao na waweze kutoboa katika maisha.

Naamini uwezo wangu na uelekeo wazaz wangu walionifosi nielekee sio kabisa.

Now I am jobless, nimesoma mpka chuo nina GPA nzuri tu hata mwaka jana niliitwa udsm kwaajili ya interview ya tutorial assistance but sikwenda kwasababu nipo katika job flan ambayo inanibana.

Lakini I know my destination is not at teaching au kutumikia elimu nilipata darasani I have to follow my potentiality.
Kama huna hela mpaka sasa maana yake huna akili
 
Unajua lengo kuu la elimu kwa binadamu?

Elimu KAMWE haiwezi kuwa chanzo cha umasikini. Kinyume chake lengo mojawapo la elimu ni kupambana na umasikini japo siyo kuwatajirisha waipatayo. Ndiyo maana mataifa yaliyoendelea yamewekeza sana katika elimu.

Elimu! Elimu! Elimu! (In Lowassa's voice!)
 
Anza shule Yako uwe mwalimu wa hiyo shule.

Ulisoma ukitengea kufundisha shule ambazo hukuanzisha wewe.

Tatizo lilianzia hapo.
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom