Nimekuja kujua kuna namna elimu ni chanzo cha umasikini

Advance ulisoma kombi gani na ukapata maksi ngapi?
 
Tuna ilaumu sana elimu, lkn ukweli wengi wetu katika kevel za chini za elimu hatujui nini tunataka, Hatuconcentrate na vipaji na vipawq vyetu. Mwishowe tunaishia kufata mkumbo.

Tumeishi tukaona watu wengi waliosoma wakafanikiwa, na wengine wasifanikiwe pia the same kwa ambao hawajasoma
 
For my experience, 2 years since nimemaliza chuo. Bado sijafanikiwa lkn atleast elimu imenifanya nikafungua milango ambayo sikuzani kama ningeingia before, Nimekutana na watu ambao sikutarajia bado imenipa exposure inayofanya nifikiri tofauti na nilivo kua nafikiri nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…