Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Sicario poison

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
2,327
Reaction score
4,575
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute.

Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote, tumeoana mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana.

Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja.

Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha, nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha.

Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee. Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu.

Naombeni ushauri wana JF hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
 
Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
 
Yani unajisifu kabisa eti umempiga mikanda ya kutosha. Ingekuwa mimi ndo umenishushia hicho kipigo hamna rangi ungeacha kuona. kama kakusaliti achana nae akakutane na malimwengu, kupiga sio solution bali kujitafutia kesi afu once a cheater always a cheater
 
Ila kwa hii miaka wake za watu wanaliwa vibaya sana, sio wa matajiri, sio wa masikini, sio wake za wanasiasa yaani hali inatisha, sasa kama mkeo ni mzuri unamuachia duka lazima aliwe tu, dukani ni opportunity nzuri kwa mteja kuanzisha mazoea na story na hapo ndipo wanamtongoza.

Imefikia hatua nikiwa napiga story na jamaa flani wanasema wanaamini asilimia nyingi wake zao walishaliwa nje japo hawana ushahidi, lakini wanasema ni vyema wasijue lakini wanaamini wanaliwa nje.

Ni kama wanaume wanajikatia tamaa, na hapa ndipo team kataa ndoa wakaibuka.
 
Mwaka fulani nilienda Kariakoo Kuna jamaa yangu mmoja nilimpa kazi ya kunitafutia simu mmoja hivi nzuri nilikuwa naipenda na Bongo zilikuwa chache,so alipoipata akawa ameniambia nikaichukue hapo Kariakoo dukani kwake!

Nilipofika hapo nikakuta Kuna mshikaji anasutwa na Washikaji wenzie kwamba huwa anawasimulia namna anavyomkaza demu mmoja ambaye duka lake lilikuwa linapakana na duka la mshikaji wangu!

Ilivyokuwa inaonyesha ni kwamba ,yule mwanamke (Bonge la Manzi/mshangazi) alikuwa akitembea na yule mshikaji halafu jamaa Ili aonekane mwamba yeye akiwa na Washikaji wenzie anawasimulia namna ambavyo huwa anampelekea moto yule demu !,Kibaya zaidi jamaa wakawa wanamshushua mbele ya mume wa yule mwanamke/mshangazi !

Aiseee sijui kiliendelea Nini lakini nadhani ndoa ya yule mshangazi na mume wake sidhani kama iliendelea!

Hii stori yako mkuu imenikumbusha mbali
 
Aisee kugongewa mke inauma sana.

Imagine jamaa anamvua chupi, anaipiga mbunye dole la kati, anaipapasa papasa. Anaushika mdudu anaufikicha kwenye mashavu. Mbunye inaloa vizuri kisha anaingiza inaenea. Jamaa anapiga tako chap chap huku wife analegeza mimacho

Kila ukikumbuka hayo unaanza kulia kiume
 
Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
Case closed.

Dawa ya msaliti ni talaka
 
Yani unajisifu kabisa eti umempiga mikanda ya kutosha. Ingekuwa mimi ndo umenishushia hicho kipigo hamna rangi ungeacha kuona
Zilikuwa hasira tu na alivumilia maana anajijua yuko guilty hajapiga simu kwao wala kwa ndugu yake wakati kipindi cha nyuma tukikorofishana anaanza kulia kwa mama yake
 
Hahahah usimwambie chochote wala haikutakiwa kumpiga ungesema tuh duuh asante then chukua watoto kapime DNA then tulia na hakikisha umepata dawa ya kuzuia limbwata uwe waila kila siku then usifanye chochote na usiwah muomba mechi wew tulia na uwe fresh tuh ishi nae kama kaka na dada atakonda utazika ila ukimuacha au kumuadhibu n kumpa nguvuni ngumu ila zoea wala usipige pombe tulia tuh inauma ila tulia ukiweza bas unamzika aste aste hatoboi atakimbia mwenyew kama mechi uwe wajilia nje fresh ukrud ndani n wageukia huko walala
 
A moment ago
New
Add bookmark
#18
Hahahah usimwambie chochote wala haikutakiwa kumpiga ungesema tuh duuh asante then chukua watoto kapime DNA then tulia na hakikisha umepata dawa ya kuzuia limbwata uwe waila kila siku then usifanye chochote na usiwah muomba mechi wew tulia na uwe fresh tuh ishi nae kama kaka na dada atakonda utazika ila ukimuacha au kumuadhibu n kumpa nguvuni ngumu ila zoea wala usipige pombe tulia tuh inauma ila tulia ukiweza bas unamzika aste aste hatoboi atakimbia mwenyew kama mechi uwe wajilia nje fresh ukrud ndani n wageukia huko wa
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?

lala
 
Aisee kugongewa mke inauma sana. Imagine jamaa anamvua chupi, anaipiga mbunye dole la kati, anaipapasa papasa. Anashida mdudu anaupificha kwenye mashavu. Mbunye inaloa vizuri kisha anaingiza inaenea.

Mimi namuacha.
daah.. hayo maneno ya mwisho ni hatari,

"kisha anaingiza inaenea" yani haipwelepweti au jamaa hana kibamia 😄
 
Back
Top Bottom