Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Bosi kwanza idadi ya kuliwa wife usiizingatie sana hiyo mara moja amekupa tu ili usiumie sana jamaa atakuwa kampiga sana uamuzi ni wako kusamehe muendelee au kupiga chini option zote mbili zina faida na hasara pia so the choice is yours!!
 
Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
Ili usaidie nini huo ukweli
 
Ila kwa hii miaka wake za watu wanaliwa vibaya sana, sio wa matajiri, sio wa masikini, sio wake za wanasiasa yaani hali inatisha, sasa kama mkeo ni mzuri unamuachia duka lazima aliwe tu, dukani ni opportunity nzuri kwa mteja kuanzisha mazoea na story na hapo ndipo wanamtongoza.

Imefikia hatua nikiwa napiga story na jamaa flani wanasema wanaamini asilimia nyingi wake zao walishaliwa nje japo hawana ushahidi, lakini wanasema ni vyema wasijue lakini wanaamini wanaliwa nje.

Ni kama wanaume wanajikatia tamaa, na hapa ndipo team kataa ndoa wakaibuka.
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
 
Ksbb wewe una uhakika ilikuwa bora kuachana nae kabla haijafika mbali. Bahati mbaya unawaza future ya watoto wako wataishije bila malezi ya wazazi wote. Hilo ndilo linalouma. Lakini piga moyo konde achana nae mapema. Ksbb kusatiti huwa hakuuishii hapo,anaendelea
 
Mkuu relax!

Screenshot_20230827_065442_Chrome.jpg


...and always remember that the p*ssy is never real yours. It is just your turn - hata kama umeshaitolea mahari. So relax 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Hahahaha keyboard warrior
Natamani ujaribu afu uone mziki wangu , labda univizie nisi jue ni wewe.
kama humu 👇🏽
“KNOW WHO YOU'RE DEALING WITHDO NOT OFFEND THE WRONG PERSON
There are many different kinds of people in the world, and you can never assume that
everyone will react to your strategies in the same way. Deceive or outmaneuver some people
and they will spend the rest of their lives seeking revenge. They are wolves in lambs'
clothing. Choose your victims and opponents carefully, then
never offend or deceive the wrong person.”
 
Back
Top Bottom