Nimekuja kwa Mara ya mwisho kutafuta mke

Nimekuja kwa Mara ya mwisho kutafuta mke

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Wakuu bado Nahitaji mke. Niliwahi kuleta Uzi humu
👇🏾👇🏾

 
Kigezo ulichoandika kwa wino mwekundu, kuwa asiwe amesomea masuala ya Kisheria huenda ndiyo changamoto.

Ni kwa nini Mkuu hutaki aliyebobea katika Sheria?
 
Lakini kweli huko mtaani kote umeshindwa kupata? Halafu kwa JF nafhani ratio ni 100:1, wanaume ni wengi wanawake ni wachache, sobora mwanamke akitafuta ndoa humu na sio dume
 
Punguza vigezo utampata mm nilianzisha uzi humu wa kumtafuta mke wa kuoa sikuweka vigezo vingi km masihara nikawapata mabinti watatu mmoja age ilikwenda mno ila alikuwa serious baada ya kuchuja nikampata mtu tumedate nae kutoka January hd sasa i hope km mambo yatakwenda vzr wa tisa ndoa
 
Back
Top Bottom