Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g . nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyo changamka. Sijazoea samsung za ivi jaman sijapenda kabisa. Na ni simu original nimeipima vya vipimo vyote vyabimei,ma sensor sijui. Mliowahi kutumia s na note series afu mkatumia a series mtanielewa.
Ingawa J series na Note series hazipo kwa sasaInanekana hukuwa na ufahamu wa samsung. Kama simu zingine ina madaraja.
F series, J series, A series, NOte na S series
J series (wanyonge series) hii ni kwa wale ambao uwezo wa ku afford a series ni mgumu kwao
A series ni mid range phones. So hapa hutopata quality 100%
Hapa walilenga unafuu wa bei lakin unatapa vitu vichache mno ambavyo vinapatikana kwenye flagship
S series ndio flagship edition. Hapa ndio unapata top quality
Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g. Nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyochangamka. Sijazoea samsung za hivi jamani, sijapenda kabisa. Na ni simu original nimeipima vya vipimo vyote vya bimei, ma sensor sijui. Mliowahi kutumia S na note series afu mkatumia a series mtanielewa.
Wewe Reuben Challe nakukubali Sana.Kama ungetumia AliExpress kwa laki 7 ungepata Xiaomi Redmi Note 13 Pro+ ambayo ni much better option than Galaxy A34 5G
Yani A series ulingamishe na S au Note series?Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g. Nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyochangamka. Sijazoea samsung za hivi jamani, sijapenda kabisa. Na ni simu original nimeipima vya vipimo vyote vya bimei, ma sensor sijui. Mliowahi kutumia S na note series afu mkatumia a series mtanielewa.
Matajiri mna hela za kuchezea aisee. Laki 7 nzima ukatoa hata bila kujiridhisha kama unapata kitu orijino ama la! 😳Zile features zote za samsung hamna iko tu kama infinix afu batton ya kuzima simu haina ukizima inakuletea vitu vingine vingi. Au nimepigwa nimeinunua 700,000. Na omba mwenye njia nyingine jinsi ya kuangalia simu original anisaidie
Sio matajiri nimejiunga sana kununua hii simu kwanza nilikuwa nalipankwa installment. Naomba tu msaada kujua simu og na fake kwakuwa nimenunua sio mbali na ninapo ishi nairudisha tu nabadilisha maana anazo simu aina zote hizi flagship kama note 10 plus ,ana hiz aseries . naomba jinsi ya kujua simu fake na ogMatajiri mna hela za kuchezea aisee. Laki 7 nzima ukatoa hata bila kujiridhisha kama unapata kitu orijino ama la! [emoji15]
KabisaA series ni simu zilizotengenezwa kwa ajili ya kupambana na Tecno na Infinix. Zinaendana ubora
Si uirudishe kwa muuzajiZile features zote za samsung hamna iko tu kama infinix afu batton ya kuzima simu haina ukizima inakuletea vitu vingine vingi. Au nimepigwa nimeinunua 700,000. Na omba mwenye njia nyingine jinsi ya kuangalia simu original anisaidie
Napenda kwanza nijiridhishe kama ni fake ndo nirudisheSi uirudishe kwa muuzaji
Na ninaendelea kugundua maajabu wala hai screen short. Afu ukiwasha haiandiki samsung galax a34 . inaandika samsung galax basi. Yele uwiiiiiiiiii!!! Nimepigwa. Japo sijadhibitisha sana. Kuna jamaa mmoja humu huwa anajua simu sana mkwawa jamaa angenisaidia ningepona .kuna kipindi pia alisha wahi kunisaidia nikagundua simu ni oj ilikuwa j7 primeNapenda kwanza nijiridhishe kama ni fake ndo nirudishe