Huyu jamaa kuna uwezekano hajapata copy ila alikua na matarajio makubwa sana kuhusu hio simu..
Samsung matoleo mapya YOTE Power button asaivi hauzimi direct, inakuletea options 4,
Power Off, Restart, Emergency call & Medical info
Pia Samsung matoleo mapya YOTE ukiwasha hawaandiki models # kama zamani,
Ni hivyo hivyo Samsung Galaxy, labda wanamalizia na Powered by Android .
Kwahio kwa nyaja hizo ulizotolea reference boss hakuna mabadiliko yoyote hata kwa S24 ultra,
A - Series iliyopo Juu asaivi ni A55 5G, wamerudisha Metal frame, Glass back n.k, vitu ambavyo vilikua vinapatikana kwenye flagship tuu, na A Series za 2016 & 2017
Kama A7/A9/A9 Pro 2016 n.k
Kuhusu screenshot Najua kwa simu yako inatakiwa u press power button + Volume down at once,
Kama inakataa hapo sasa ndio uanzw kua na mashaka na hio simu..
Sikushauri sana kubadilisha halafu ukanunu Note/S 10 Plus, ni simu ya mda(2019) Piga ua utapata Mtumba au refurb, Disappointment kubwa itaanza kwenye Battery hasa kwa wewe unayetoka kwenye A34,
Toka Samsung au tafta latest