Zipo Infinix zinashinda hata Galaxy A55 kwa uwezo hasa inapokuja kwenye suala la hardware. Mfano Infinix GT 20 Pro ina hardware nzuri kuliko midrange yoyote ya Samsung.
Ni kweli Infinix haiwezi kufikia Samsung ila hii ni kwa upande wa software, AI, na hata hardware ambazo Infinix hawezi kugusa Samsung ni za kwenye flagship tu yani hizi S24 series au S23 series ila kwenye midrange huku makampuni mengi ya Kichina yana midrange nzuri kushinda Samsung. Hata Tecno anatoa very competitive midrange kuliko Samsung, ila Samsung iko tu ahead kwenye software UX, na software support.... Oooh nusu nisahau.. Na brand pia. Samsung ni jina kubwa kuliko Infinix