Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

ukiona mtu kabla ya kukunua simu anakuja kuulizia mitandaoni ujue huyo ni sakara, kama una hela huwez kukoksa connectiona ya simu bora
Maarifa yanatafutwa kwa kuuliza au kufundishwa kingine huyo unayemtegemea kukupa connection sometimes hajui kila kitu jambo ukiliweka kwenye umati kama hivi ndiyo unapata nafasi ya kuchambua ufanye kipi ili kupata kitu bora.
 
Basi tumalize kwa kusema Samsung A series anachomzidi infinix most toleo jipya ni brand tu si ndio?
 
W
Zile features zote za samsung hamna iko tu kama infinix afu batton ya kuzima simu haina ukizima inakuletea vitu vingine vingi. Au nimepigwa nimeinunua 700,000. Na omba mwenye njia nyingine jinsi ya kuangalia simu original anisaidie
Alokuwa mtumiaji wa Infinix utamjua tu. Hii kitu unaeza kwenda kwa settings uka change, km unataka kuizima km infinix yako. Otherwise waweza izima kwa kuvuta notification panel pale pemben kulia utaona dot flan ya kuzima. Pia uskute umeuziwa fake coz nalo lawezekana. Best and reliable phone brand ever.. Respect to Samsung.
 
kwamba software za Samsung zipo chini over infinix?
Samsung imeiacha mbali sana Infinix kwenye software. Hilo linaeleweka, Samsung ameinvest sana kwenye software kuliko Infinix.
Software ya Infinix ni kama ilitengenezwa tu ili na wao wawe na software yao ila sio nzuri hata.
 
Samsung imeiacha mbali sana Infinix kwenye software. Hilo linaeleweka, Samsung ameinvest sana kwenye software kuliko Infinix.
Software ya Infinix ni kama ilitengenezwa tu ili na wao wawe na software yao ila sio nzuri hata.
🤝🙌🙌Nilijiandaa kukujibu fyongo ungepindisha maneno all in all umeupiga mwingi
 
Simu nzuri ni pixel or km umeshindwa kabisa at least iPhone nyingine wanazicheza mnooo
 
Imekosa nini ambacho ni cha lazima kwenye matumizi?

Wewe umekomaa na A33 sijui 34 ungejaribu kununua A70, 71 , 80 hizi hazina tofauti na S ama Note series ingawaje sina uhakika kama bado zipo madukani.
 
Camon 30 premier ni Tsh ngapi? Na una uhakika inakalisha midrange za Xiaomi? Taja bei ya Camon 30 premier nikutajie Xiaomi ya bei hiyo ambayo hiyo Tecno kamwe haiwezi gusa
1,190,000 bei sawa na redmi note 13 pro+
 
1,190,000 bei sawa na redmi note 13 pro+
1,190,000/= ni bei ya Xiaomi 13T Pro. Hizo Note 13 pro+ ni wabongo ndo wanauza hiyo bei kwa sababu wanajua hamzijui vizuri hizo simu na Xiaomi hawapo official Tanzania.
Angalia bei AliExpress ndio utaelewa business strategy ya Xiaomi.

Xiaomi 13T Pro ni milioni 1 na ni simu bora mara dufu ya hiyo Camon 30 premier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…