Nimekukosea sana baba yangu, naomba Msamaha

Lol
 
Sio kwamba enzi hzo wao kidogo kulikuwa na unafuu sio kama sasa
Hakuna unafuu wowote hata saiv kuna vijana wenzio wanapesa kibao zakuchezea ambazo wew huna jifunze kuheshim hustle zamazaz wako usipende kumwona et alikua fala mbona akina mwinjaku wanajenga kirahis tu nasie tumefulia unazan watoto wetu watatuelewa kirahis
 
buku kwa miaka hiyo mimi nikipewa nabebewa hadi begi tena wanafanya hadi kugawana madaftari, sambusa, bagia tsh 10 miaka hiyo 😂
 
Najaribu kubeba mawazo yako kuyacovert kwenye maisha yangu naona hayakubali kabisa

Haimaanishi Mimi namaisha mazuri ila ikitokea Mpaka dakika ya mwisho nimeshindwa ninastahili kubeba lawama Kwa sababu Maisha ni yàngu.
Watoto nitakaowazaa ni wàngu.
Mungu ni wàngu.

Watoto na kizazi changu kitakuwa na Haki ya kunipongeza Ikiwa nitafanikiwa na hapohapo kitakuwa na Haki kunilaumu na kunikejeli Ikiwa sitafanikiwa.

Ukiwa na mawazo kuwa Mungu anakupangia kushindwa Jua unakosea pakubwa Sana.

Umaskini haupangwi na Mungu ndîo maana kûna Ardhi, Watu, mimea, maziwa, madini, Wanyama.
NI wewe Akili yako ijue namna ya kuyatumia. Na kukabiliana na washindani wenzako(binadamu).


Kaini anamuonea wivu nduguye Habili Kwa kufanikiwa, Mungu namuambia Fanya kama yeye(Kaini)

Hiyo ndîo Kanuni. Ukiona Mtu kafanikiwa Fanya kama yeye.
Kama anauza Madawa ya kulevya na wéwe Uza.
Kama ni mshenzi nawe kuwa Mshenzi. Kama lengo Lako ni kuwa na Maisha ya Aina Fulani.

Unàtaka utajiri alafu unamwomba Mungu unaumwa wewe.
Mungu anatoa Ñguvu za kuwa tajiri ila hatoi utajiri. Kwa sababu utajiri upogo tuu.

Narudia kama lengo Lako ni kuwa tajiri Fanya kama wanavyofanya matajiri Wengine. Simple
 
Acha kulia lia kijana.

This world is not for the weak.

You either go hard, go home or you die.
 
Una uhakika babako yupo humu jukwaani na anajua ID yako mkuu?
 
Kwa sasa utakuwa mbali. Katika ukoo wetu ni marufuku mtoto kurithi. Kwamantiki hiyo kila mtu hutafuta vyake. Babu alinieleza kuwa hakurithi, baba pia hakurithi na mimi sikurithi. Hata kijana wangu wa kwanza alipokuwa chuo nilimuuliza ni kiasi gani nimpe kila mwezi, akasema nimepata mkopo na kama hautatosha nitakueleza. Namshukuru mungu hakutaka hata senti moja. Alipomaliza akaanzisha kampuni ambapo sasa ana pesa kunizidi.

Mchawi wetu waafrika ni mentality ya URITHI au urisi kwa kichagga. Urisi ni kushirikiana umasikini (share poverty)
 
Kwanini upande magari mawili au ndio ile kusoma mjini?
Shule niliyokuwa nasoma, tulianza kuishi maeneo hayo, kisha tukahamia kwingine, lilipokuja suala la kuhamishwa shule nikagoma, sikutaka kuhama ile shule.
 
🥹🥹🥹
Your browser is not able to display this video.

🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤐🤐🙄🙄
 
Life la kawaida tu mkuu, namshukuru mungu.
 
Shuleni kuna bimkubwa alikuwa anauza kibakuli cha viazi vimechemshwa kakatia hoho humo humo kwa sh 15, wali maharage ilikuwa sijui ni 30 vile, yaani unakula unasaza
Maisha yamebadilika sana kwasasa, nadhani miaka hiyo tulifurahia maisha ya shule kuzidi watoto wa sasa.
 
Waefeso 6:5
"Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo;"

Mkuu unaposema Mungu unamaanisha huyu anayetambua uwepo wa watumwa na kuamrisha watumwa wawatii mabwana zao kama vile ni kumtii kristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…