Nimekukosea sana baba yangu, naomba Msamaha

Sema hii ni kwa koo ambazo bado zinajitafuta. Koo zilizojipata zenye pesa kongwe utajiri unarithishwa. Koo kama za Rostam, mengi, gsm, Trump nk ni utajiri wa vizazi, watoto na vizazi vyake vitarithi
 
Paulo hakuwa mtume Wala Nabii
Wakristo wengi wamepotoshwa na Paulo
 
Umeanza kutoka usingizini ila usije kujifariji kama mlevi nafasi unayo karibu kijijini njoo upande hata Eka mbili tu za miti ya mikaribea kwa gharama ya milioni mbili na mashamba hayo yatakuwa ya kwako baada ya miaka 10 mbele utanishukuru.....
 
Kijiji gani na mkoa gani
 
Sometimes kwenye kufanikiwa familia inahitajika sana kutoa support.
Kuna muda unapambana sana katika hustling zako ila kuna sehem kidogo unafeli sasa hapo ukipata support ndo inakua boom na ukifeli kupata support inakua slump. Asilimia kubwa ya waliofanikiwa kuna support waliipata kutoka katika familia zao kama familia choka mbaya sana kufanikiwa wewe labda ukavunje duka uibe.
 
Kuna mahali sijaelewa β€œkwa hiyo ukiwa Mdogo hivyo ulishajua kuna makumer”
 
Ni somo zuri kwa vijana wanao laumu wazazi wao!
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…