Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani.

Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila wakati maana kauli hiyo bado inaishi na itaishi mpaka pale tutapopata katiba mpya.

Pia, niwapongeze na kuwasifu wawekewzaji wote wa kimataifa waliokataa Mapilato wa kibongo kuwa wasuluhishi wa migogoro ya uwekezaji baina yao na sisi,

Tusubiri kusikia na Gekule ameshinda kesi.

Tuna safari ndefu sana

By a Citizen from Banana Republic.
 
Back
Top Bottom