Nimekumbuka sana Miss Chaga wa JF

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mzuka wana jamvi ...

Jf kitambo na hiko alikuwa member anayependwa sana hapa jamvini , muda mrefu sasa amepotea miss Chaga , baada ya kuona post yake Leo katika Uzi wa zamani nimekumbuka sana .

Watu wanakuja Jf na wanapotea kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…