Tuliosoma shule za kata tuna mengi ya kukumbuka.
Nakumbuka kuna mwanafunzi eti alimkuta mbuzi anasoma gazeti chooni.
Nakumbuka tulipokuwa tunalazimishwa kununua mifagio ya chelewa kama adhabu kwa kuchelewa kuwahi namba.
Nakumbuka nilipokuwa monitress nilikuwa na kibarua kizito cha kuandika majina ya wapiga kelele. Nisipoandika nachapwa mimi, nikiwaandika wakati wa kutoka wananivizia wanipige.
Sitosahau tulipompiga mwalimu na yai viza maana alikuwa mnoko sana.
Yote kwa yote nakumbuka nilikuwa nakaa nyumba ya pili kutoka shule hivyo nilikuwa sipewi hata sh kumi ya kwenda nayo shule.
Jamani mambo ya shule ya msingi....mmmh
si siku moja tumecharazwa sana na baba, marehemu rashid kawawa alitembelea nyumbani na sie tukawa tunabembea nje kwenye miti huku tukiimba maneno kawawawawawaaa kama vile tunaendesha magari. lo, bakora zilizofuatia hapo! ilikuwa balaa
Ehhhh sana tu.....bila kusahau ya kuchoma!!Maembe...machungwa....zambarau....alafu kuna mengine tulikua tunayaita elimu sijui kwa kiswahili kinachoeleweka yanaitwaje!!!hahaha...very funny, ulikuwa hauendi shulen na mahindi yaliyokaangwa, yakachemshwa then ukayaweka sukari? halaf marafiki wanakuwa wengi maana umekuja na mahindi.maembe je?
wewe bado hujaamka tuu:horn:
Nakumbuka tulikuwa tunasoma na Vince kwao walifuga sungura waliokuwa na uwezo wa kucheza karata,basi Vince alikuwa na marafiki wengi kwa kuwa kwao kulikuwa kama zoo ya kwenda kucheki wanyama japo walikuwepo sungura tu........
Nakumbuka siku moja Vince alinidanganya tukaenda nyuma ya nyumba akaniambia vua sketi yako,ile naanza vua,mama yake akatokea,Vince akakimbia,mama yake akanipeleke home,nlipofika tu mama yangu akanivua chupi.....sijui ili aone nini????
Vince alipigwa sana lakini bado akawa anaendelea na tabia yake,na vile kwao walikuwa wana sungura wacheza karata na nilipenda kuwaona nilikuwa nakubali tu kuvua........lol
mlikumbuka kutumia protection?
Hahahaha!Hiyo inaitwa next level!Mlikua mbele ehh...?
Tulitumia mifuko ya plastic iliyokuwa inaitwa malboro enzi zile.......lol
Mmmh!mimi hapa na kina wenzangu na mie!
Alafu mwenyewe nlikua najiona mjaanja kumbe wala!
Hahaahah....mnasumbua wakubwa wakiongea sio?Sisi ilikua wageni wakiongea ndo tunapata mwanya wa kwenda kucheza kwa jirani kwa kisingizio kwamba hatukutaka kusumbua!!Siku hizi wakubwa wakiongea watoto nao wanakaa hapo hapo kuwakodolea macho!