Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Habari zenu waungwana?
Naomba kuwauliza wataalamu wa humu.
Leo alfajiri majira ya saa 10 hivi nimekunywa dawa za minyoo zinazoitwa Albendazole.
Sasa baadae leo jioni nina miadi na jamaa zangu fulani hivi kutoka huko mkoani, ninavyoijua hiyo kampani ya hao jamaa zangu kupiga vyupa hakuepukiki.
So nilikuwa nauliza ikifika jioni nikanywa vibia viwili au vitatu tu kuna madhara yoyote nitayapata?
Asante