Nimekunywa dawa za minyoo aina ya Albendazole. Naweza kunywa vibia viwili au vitatu baadae jioni?

Nimekunywa dawa za minyoo aina ya Albendazole. Naweza kunywa vibia viwili au vitatu baadae jioni?

Vipi kuhusu dawa ya maji ya kikohozi, ukinywa alfajiri je unaruhusiwa kulamba bia jioni?
 
Vipi kuhusu dawa ya maji ya kikohozi, ukinywa alfajiri je unaruhusiwa kulamba bia jioni?
Kawaida cough syrups (dawa za kikohozi) nyingi huwa na moja kati ya hivi:
Antihistamines (mfano chlorpheniramine, diphenhydramine) – husababisha usingizi.

Dextromethorphan – hutuliza kikohozi, pia huathiri ubongo.

Codeine au dawa zenye opioid kidogo – pia husababisha usingizii..

Cough syrup Zingine huwa na alcohol kidogo kama preservative.

HENCE: Unaweza kunywa cough syrup then ukanywa zako bia/ pombeee

NB. Unaweza kunywa ila dawa nyingi ni reactive kwenye pombeee hivyo ini (liver) unalipa kazii kuzichakata pombe na dawa..moja ya dawa hatari kunywa na ukanywa pombe ni dawa za malaria 🦟 ila dawa kama azithromycin unaweza kumeza na ukanywa zako pombeee ila utazipa kazi INI
 
Haina side effects za moja kwa moja Mimi Huwa nakunywaga albendazole 400mg dozii mbili na jioni napiga konyagiiii ndogo yangu moja..

Ila kilevi huleta mapambano kwenye INI hiyo ndio shida unazipa kazi ini KUCHAKATA
Figo zako ziko salama boss?
 
Ukimumunya hizo dawa arafu ukanywa bia, hapo lazima udai kupelekewa moto 🔥 make minyoo itakutekenya na pombe itakulegeza.. pale zamani ikifika saa nne nne za asbui uvumi unaenea " jamini furani tayari kapelekewa moto.." 🙏🏾
 
Back
Top Bottom