Kwa huu ushauri mnaoutoa mtakuja kuua mtu siku mojaHamna tatizo... Ukitaka uichanganye minyoo vizuri kunywa hata gongo
Kula maji wewe! Dawa umemung'unya alfajiri! Bia unapiga jioni! Shida iko wapi?Habari zenu waungwana?
Naomba kuwauliza wataalamu wa humu.
Leo alfajiri majira ya saa 10 hivi nimekunywa dawa za minyoo zinazoitwa Albendazole.
Sasa baadae leo jioni nina miadi na jamaa zangu fulani hivi kutoka huko mkoani, ninavyoijua hiyo kampani ya hao jamaa zangu kupiga vyupa hakuepukiki.
So nilikuwa nauliza ikifika jioni nikanywa vibia viwili au vitatu tu kuna madhara yoyote nitayapata?
Asante
Albendanzole ya saa kumi usiku mpaka baade jioni hamna tatizo hata akilewa chakari... Tusitishane na vitu visivyotishaKwa huu ushauri mnaoutoa mtakuja kuua mtu siku moja
Albendazole ni dawa au sio dawa?Albendanzole ya saa kumi usiku mpaka baade jioni hamna tatizo hata akilewa chakari... Tusitishane na vitu visivyotisha
Ruksaa.. Minyoo yote itakuwa imeshatangulia kuzimuHabari zenu waungwana?