Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu mwambie huyo afanye hivyo chapHahahah, we Valentina!
Habari wana JF,
Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.
Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
Itabidi umuone Maimatha wa Jesse!Habari wana JF,
Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.
Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
MmmmmmmmmMwisho mtakojoa kitandani
Hata Nyani Ngabu ana matatizo haya haya.Habari wana JF,